Huu ndio Ukristo wa kweli

Huu ndio Ukristo wa kweli

Hakuna kitu kama hicho kwenye Kanisa Takatifu Katoliki la Mitume.

Maji ya baraka hutolewa bure kwa muumini yeyote yule!! Ekaristi Takatifu hutolewa bure wakati wa misa kwa Waamini waliojiandaa tu!

Divai hutumiwa na Mapadre wakati wa misa, na pia kwa waaamini nyakati fulani fulani!! Mfano wakati wa kufunga ndoa, komunyo ya kwanza, nk.
Hutoi sadaka mbalimbali!?
 
Hakuna kitu kama hicho kwenye Kanisa Takatifu Katoliki la Mitume.

Maji ya baraka hutolewa bure kwa muumini yeyote yule!! Ekaristi Takatifu hutolewa bure wakati wa misa kwa Waamini waliojiandaa tu!

Divai hutumiwa zaidi na Mapadre wakati wa misa, na pia kwa waaamini nyakati fulani fulani!! Mfano wakati wa kufunga ndoa, komunyo ya kwanza, nk.
Hakuna sadaka unazotoa!?
 
Hutoi sadaka mbalimbali!?
Sasa usipotoa sadaka, Mapadre wetu na Watawa wataishi vipi? Na wakati wamejitolea maisha yao yote hapa duniani kulitumikia Kanisa la Mungu?
Marekebisho ya nyumba ya Mungu yatafanywa na nani, kama siyo sisi waumini?

Huduma mbalimbali kwenye nyumba zetu za ibada zitalipwa na nani, ka siyo sisi waumini? Mfano ununuzi wa vifaa vya kuendeshea misa, malipo ya wahudumu mbalimbali, nk!!

By the way, hiyo sadaka na zaka huwa tunatoa kwa hiyari. Na hatutoi huku tukiwa tumesimamiwa na mtutu wa bunduki.
Au unataka uniambie na nyinyi msikitini kwenu huwa hamtoi sadaka na zaka?
 
Ndo yaleyale ya kuuziwa huduma Kama wale uliowakosoa huko juu,mbona masheikh wanapinga dili zao hawategemei sadaka!?..sadaka ni kwa ajili ya mazulia,maji,umeme na watu wenye shida walienda misikitini
 
Maelezo mareeefu! Ila mwisho wa siku kinachotafutwa hapo ni sadaka tu kutoka kwa wajinga. Nashangaa umesahau kuweka namba ya simu ya kufanikishia hiyo miamala ya pesa.
Sipo hapa kuhitaji sadaka ya mtu, wala katika mabandiko yangu sitakaa sitakaa niweke namba yangu ya simu kwa sababu hilo siyo lengu langu.

Lengo ni kueneza injili kama alivyosema Yesu Kristo katika Kitabu cha Marko 16:15 "Akawaambia, Enendeni ulimwenguni mwote, mkaihubiri Injili kwa kila kiumbe."

Kwa hiyo tupo hapa kuambiana yale yaliyo mema.

Mwisho wa yote kuna ubaya gani kutoa sadaka kama kweli imani unayoiamini ni ya Mungu? Tena usiishie tu kutoa katika nyumba ya ibada bali uwakumbuke pia wale wenye uhitaji.
 
Ubarikiwe sana Mtumishi na Mungu akuonekanie zaidi kwa uinjilishaji. Hakuna kukata tamaa mpaka kila kinywa kimkiri Kristo Yesu kuwa ni Bwana na Mwokozi wa maisha yao.
Amina.
 
Achana na hadithi zisizo na kichwa wala miguu. Mungu wala shetani hawapo.

Mungu akusaidie Ndugu yangu. Kwa sababu Mungu hatumuoni physically si justification ya kwamba hayupo.

Science imeshindwa kuprove madai mengi kuanzia tu kwenye uhai wetu.
 
Tafuteni kazi halali za kufanya. Masuala ya kuwauzia wajinga maji, lesso, mafuta, chumvi, sabuni, nk kwa bei ya kulangua! Ni wizi na utapeli wa wazi kabisa.

Ningekuwa na mamlaka, ningewakamata wote huko mjini, na kuwapeleka mashambani mkalime.
Umeshageneralize kwamba kila mtu anauza maji na chumvi na sabuni?
 
Kanisa Katoliki ni mti wenye matunda mazuri.
Biblia inalitafsiri kanisa kama kusanyiko la watu waliokusanyika pamoja kumuomba Mungu.

Kanisa si jengo. Hatupo hapa kutetea dini zetu ila imani zetu kama wakristo. Kwanini hatuzifuati sheria za Mungu kama Tunaamini kuwa sisi ni wakristo?
 
Tafuteni kazi halali za kufanya. Masuala ya kuwauzia wajinga maji, lesso, mafuta, chumvi, sabuni, nk kwa bei ya kulangua! Ni wizi na utapeli wa wazi kabisa.

Ningekuwa na mamlaka, ningewakamata wote huko mjini, na kuwapeleka mashambani mkalime.
Tate mkuu nimeshuka chini nikaona wewe pia ni mkatoliki,(Kuna sehemu umecoment),plz Muombe Mungu Tena kwa comment hii utagundua jamaa ana kitu, Rudi kwenye misingi ya kikristo, usiwaze sana kwa kutumia misingi ya kanisa,,hautamwelewa mtu kamwe
 
Mungu akusaidie Ndugu yangu. Kwa sababu Mungu hatumuoni physically si justification ya kwamba hayupo.

Science imeshindwa kuprove madai mengi kuanzia tu kwenye uhai wetu.
Science imeshindwa kuprove uhai?

Unaelewa hata science ni kitu gani
 
Back
Top Bottom