KARLO MWILAPWA
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 3,250
- 5,509
Ninasimamia ninachoamini na ninaamini watanzania hawapo tayari kwa maandamano yasiyo na mwisho na Hilo ndilo linafanya maandamano yanayoratibiwa kufanyika OKTOBA 29 kukosa hoja ya ushawishi na utekelezaji na kuyapuuza.
Huu ndio ukweli mchungu wa OKTOBA 29 :
Kwanza , watu wataamka mapema asubuhi kuwahi vituoni kutiki na kurudi nyumbani hakutakuwa na dalili yoyote ya maandamano mpaka muda wa saa 4 asubuhi
Pili, kuanzia saa 5 asubuhi wanaoshawishi maandamano wataendelea kuamini ni mapema sana wataendelea kuwa na subira.
Tatu, kuanzia saa 7-9 misururu ya watu vituoni itakuwa imepungua sana na waratibu wa maandamano wakiendelea kuamini Bado muda wa kufanya hivyo upo.
Nne, kuanzia saa 10 zoezi la kupiga kura litakuwa limetamatika.kila mtu atakuwa kwake kusubiri matokeo
Tano, kuanzia saa 12 jioni matokeo ya udiwani yatakuwa yanaanza kutangazwa na watu watakusanyika kwa amani kusheherekea matokeo ya vyama vyao.
SITA, waratibu wa maandamano wataendelea kujipa Imani kuwa maandamano yatafanywa na wanaoshangilia ushindi na muda utazidi kuyoyoma bila Hilo kufanyika .
Saba , usiku unaingia siku inapinduka inaingia siku nyingine hali ya maandamano ikiwa kama haikuwahi kuratibiwa kabisa.
Baada ya hapo waratibu wa maandamano watajifunza kitu kikubwa sana kuwa Tanzania misngi ya amani ni tunu.
Katika misingi hiyo naiona OKTOBA 29 NI SIKU YA KUTIKI