Huu ndio ukweli mchungu! Usimba na Uyanga ukiwekwa pembeni, Eng. Hersi anafaa kuwa Rais wa TFF baada ya Karia kumaliza muda wake

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Wakuu

Huu ndio ukweli mchungu! Usimba na Uyanga ukiwekwa pembeni, Eng. Hersi anafaa kuwa Rais wa TFF baada ya Karia kumaliza muda wake

Eng. Hersi ana sifa na uzoefu mkubwa katika uongozi wa soka, hasa kupitia nafasi yake ndani ya Yanga SC, tangu amechukua nafasi hiyo kubwa katika ngazi ya Vilabu tumeona Yanga ikirudi kwenye peak ya juu si Soka la Ndani (Tanzania) hadi Afrika kwa kucheza Fainali ya Kombe la Shirikisho.

1742561253277.png
Si hivyo tu, Uimara wa Yanga uliitikisa Afrika baada ya kuwanyanyasa wababe wa Soka Afrika Kusini, Mamelodi Sundowns walipokutana Robo Fainali, kila mmoja alikubali Yanga alizulumiwa lile goli lililoataliwa Refa. Hata Rais wa CAF Patrice Motsepe alikiri kuwa lilikua goli.

Eng. Hersi hivi sasa ni Mwenyekiti wa Chama cha Klabu za Soka barani Africka (ACA) kwa nafasi ya kuwa rais wa klabu Afrika, Hersi Said ni mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya CAF na hivyo ameingia kwenye Kamati ya Maandalizi ya Fainali za Mataifa ya Afrika (Afcon) na Fainali za Mataifa ya Afrika kwa Wachezaji wa ndani (Chan).

1742561302229.png
Licha ya makubwa yaliyofanywa na Wallace Karia na heshima aliyojijengea kwenye Soka la Tanzania naoana Rais wa Yanga hivi sasa anafaa kuliongoza Soka la Tanzania

Akiweza kuwa kiongozi mwenye msimamo wa haki kwa vilabu vyote bila kuegemea upande mmoja, atafanya mambo makubwa sana pia kwa upande wake kama ilivyo kwa Karia.
 
Wacha ukichaa huyu ndo aongoze tff utopolo imemshinda ni wanaibandua kimataifa
Yanga imemshindaje? Kungwa Kimataifa ni sehemu ya mchezo wa mpira mkuu angalia alikoitoa Yanga mpaka ilipo sasa hivi, huyu unayemchukulia poa ipo siku ataiongoza Afrika (CAF)
 
WHEN A WOMAN LOVES....
 
Wacha ukichaa huyu ndo aongoze tff utopolo imemshinda ni wanaibandua kimataifa
Any comment kuhusu Masandawana ya SA na Patrice Motsepe kama mmiliki wake na huku ni rais wa CAF? Mamelodi huwa hawafungwi kimataifa?? UKINUNA UWE NA SABABU
 
Ili awapendelee yanga
Hakuna
Hatuwez ruhusu hii tabia
 
Wakuu

Huu ndio ukweli mchungu! Usimba na Uyanga ukiwekwa pembeni, Eng. Hersi anafaa kuwa Rais wa TFF baada ya Karia kumaliza muda wake

Eng. Hersi ana sifa na uzoefu mkubwa katika uongozi wa soka, hasa kupitia nafasi yake ndani ya Yanga SC, tangu amechukua nafasi hiyo kubwa katika ngazi ya Vilabu tumeona Yanga ikirudi kwenye peak ya juu si Soka la Ndani (Tanzania) hadi Afrika kwa kucheza Fainali ya Kombe la Shirikisho.

Si hivyo tu, Uimara wa Yanga uliitikisa Afrika baada ya kuwanyanyasa wababe wa Soka Afrika Kusini, Mamelodi Sundowns walipokutana Robo Fainali, kila mmoja alikubali Yanga alizulumiwa lile goli lililoataliwa Refa. Hata Rais wa CAF Patrice Motsepe alikiri kuwa lilikua goli.

Eng. Hersi hivi sasa ni Mwenyekiti wa Chama cha Klabu za Soka barani Africka (ACA) kwa nafasi ya kuwa rais wa klabu Afrika, Hersi Said ni mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya CAF na hivyo ameingia kwenye Kamati ya Maandalizi ya Fainali za Mataifa ya Afrika (Afcon) na Fainali za Mataifa ya Afrika kwa Wachezaji wa ndani (Chan).

Licha ya makubwa yaliyofanywa na Wallace Karia na heshima aliyojijengea kwenye Soka la Tanzania naoana Rais wa Yanga hivi sasa anafaa kuliongoza Soka la Tanzania

Akiweza kuwa kiongozi mwenye msimamo wa haki kwa vilabu vyote bila kuegemea upande mmoja, atafanya mambo makubwa sana pia kwa upande wake kama ilivyo kwa Karia.
Hersi mwenyewe amesema Karia anatosha
 
Yanga tu inamshinda kila siku faini huko madeni FiFa,mpakale leo wakina bigirimana wanalipwa mshara,baleke na okra wanawatoa jasho kila siku makosa yaleyale
 
Wakuu

Huu ndio ukweli mchungu! Usimba na Uyanga ukiwekwa pembeni, Eng. Hersi anafaa kuwa Rais wa TFF baada ya Karia kumaliza muda wake

Eng. Hersi ana sifa na uzoefu mkubwa katika uongozi wa soka, hasa kupitia nafasi yake ndani ya Yanga SC, tangu amechukua nafasi hiyo kubwa katika ngazi ya Vilabu tumeona Yanga ikirudi kwenye peak ya juu si Soka la Ndani (Tanzania) hadi Afrika kwa kucheza Fainali ya Kombe la Shirikisho.

Si hivyo tu, Uimara wa Yanga uliitikisa Afrika baada ya kuwanyanyasa wababe wa Soka Afrika Kusini, Mamelodi Sundowns walipokutana Robo Fainali, kila mmoja alikubali Yanga alizulumiwa lile goli lililoataliwa Refa. Hata Rais wa CAF Patrice Motsepe alikiri kuwa lilikua goli.

Eng. Hersi hivi sasa ni Mwenyekiti wa Chama cha Klabu za Soka barani Africka (ACA) kwa nafasi ya kuwa rais wa klabu Afrika, Hersi Said ni mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya CAF na hivyo ameingia kwenye Kamati ya Maandalizi ya Fainali za Mataifa ya Afrika (Afcon) na Fainali za Mataifa ya Afrika kwa Wachezaji wa ndani (Chan).

Licha ya makubwa yaliyofanywa na Wallace Karia na heshima aliyojijengea kwenye Soka la Tanzania naoana Rais wa Yanga hivi sasa anafaa kuliongoza Soka la Tanzania

Akiweza kuwa kiongozi mwenye msimamo wa haki kwa vilabu vyote bila kuegemea upande mmoja, atafanya mambo makubwa sana pia kwa upande wake kama ilivyo kwa Karia.
Huu ni ukweli uliovuliwa chup kabisa yan

Hii ni fact ambayo ipo uchi kabisa yan
Watu wenye exposure ndiyo wanapewaga nafasi nyeti kama hizi na siyo huyu mvaa misuli🚮🚮
 
Mayb wanachama wa simba pale TFF wawe wamekufa wote hakuna mwan simba fara akampe huyo utopolo kura unajitekenya makalio unanusa kidole
 
Hersi anafaa kuwa Rais wa CAF sio Tff, uku Tff huitaji kuwa na akili nyingi kwakua uku nikuongoza kwa kutumia amri na Maelekezo ikishindikana mna ingiza Siasa na Busara.

Uku ata Mbumbumbu kama Kisugu au GB 64 anaongoza.
 
Yanga imemshindaje? Kungwa Kimataifa ni sehemu ya mchezo wa mpira mkuu angalia alikoitoa Yanga mpaka ilipo sasa hivi, huyu unayemchukulia poa ipo siku ataiongoza Afrika (CAF)
Bila GSM hersi mwepesi tu
 
Back
Top Bottom