LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 19,943
- 37,839
Bangi haimfanyi mtu kuwa na tatizo la afya ya akili isipokuwa bangi Ina mreveal mtu ambae alikuwa na tatizo la akili lakini jamii haijui kama analo.
Meaning what? Kama una vuta bangi na haupatwi na tatizo la akili tafsiri yake ni kwamba wewe ni mzima kichwani kwa viwango vya juu. Una afya ya akili kwa viwango vya juu.
Ila kama umepatwa na tatizo la akili kwa sababu ya uvutaji bangi tafsiri yake ni kwamba, wewe tayari ulikuwa na tatizo la akili, isipokuwa bangi ilicho kifanya ni kulidhihirisha tatizo lako.