100% Fact.Sijaitetea mtaalamu. Hoja yangu ni kuwa binadamu ana mambo mengi sana akilini kiasi kila mtu akiamua kuyatenda unaweza kushangaa. Jaribu kukusanya matendo yako unayofanya ukiwa pekeyako afu waza kama utaamua kuyafanya mbele za watu wayakuchukuliaje. Hata kama unayapenda?
Imagine fikiria mchakato wa kupiga nyeto unavyoanza kukusumbua kichwani hadi unaenda kupiga nyeto , unamwaga bao na unaridhika unarudi kuoga unaingia mtaani unatulia na unazidi kuheshimika. Sasa ukivuta bangi ikikuzidia unaweza kupiga nyeto hata kwenye choo cha baa. Na ikitokea watu wakakuona watasema bangi mbaya imepelekea jamaa kufanya haya lakini kiuhalisia umefanya jambo unalofanyaga kwa uficho. Kazi ya bangi na pombe ni kufichua yaliyo kichwani. Bangi au pombe haikufanyi ufanye jambo jipya .
Nimeandika u kweli.Wazee wenzangu mnazeeka vibaya. Mlipaswa msimame kama wazazi na walezi kwa Vijana wa mwaka 2000 almaarufu Gen Z badala yake mabandiko yenu yamejaa Upotoshi, Maadili mabovu na Hamasa ya Ngono.
Duh! unataka kusema Maghayo The Mongolian Savage toka kitambo ni kichaa ?Bangi haimfanyi mtu kuwa na tatizo la afya ya akili isipokuwa bangi Ina mreveal mtu ambae alikuwa na tatizo la akili lakini jamii haijui kama analo.
Meaning what? Kama una vuta bangi na haupatwi na tatizo la akili tafsiri yake ni kwamba wewe ni mzima kichwani kwa viwango vya juu. Una afya ya akili kwa viwango vya juu.
Ila kama umepatwa na tatizo la akili kwa sababu ya uvutaji bangi tafsiri yake ni kwamba, wewe tayari ulikuwa na tatizo la akili, isipokuwa bangi ilicho kifanya ni kulidhihirisha tatizo lako.
Huyu mwamba mna jambo gani kati yenu mwatuficha? Maana naona yeye kaamua kukuweka kabisa kwenye signature kila meseji yake mwisho utaona maandishi nyau de adrizDuh! unataka kusema Maghayo The Mongolian Savage toka kitambo ni kichaa ?
Hakuna tatizo lolote , huyo jamaa ni Mental caseHuyu mwamba mna jambo gani kati yenu mwatuficha? Maana naona yeye kaamua kukuweka kabisa kwenye signature kila meseji yake mwisho utaona maandishi nyau de adriz
Kama wewe ni mdhaifu basi, hisia zako zitakuendesha na sio akiliUkikutana na changamoto inayo hitaji kutatuliwa kupitia matumizi ya juu ya akili utashindwa.
Kwa mfano umemfumania mkeo na mwanaume mwingine utaishi kuua Jambo ambalo Lina ashiria tatizo la afya ya akili