TheForgotten Genious
JF-Expert Member
- Jan 18, 2014
- 2,853
- 4,503
Fanya mambo yako.
Usipomfumania?Ukikutana na changamoto inayo hitaji kutatuliwa kupitia matumizi ya juu ya akili utashindwa.
Kwa mfano umemfumania mkeo na mwanaume mwingine utaishi kuua Jambo ambalo Lina ashiria tatizo la afya ya akili
Mkuu naona una promote uvutaji wa bangi, bangi ina madhara kuliko wavutaji wajuavyo. Kitu chochote kikitumiwa zaidi ya kawaida lazima kina negative effect.Bangi haimfanyi mtu kuwa na tatizo la afya ya akili isipokuwa bangi Ina mreveal mtu ambae alikuwa na tatizo la akili lakini jamii haijui kama analo.
Meaning what? Kama una vuta bangi na haupatwi na tatizo la akili tafsiri yake ni kwamba wewe ni mzima kichwani kwa viwango vya juu. Una afya ya akili kwa viwango vya juu.
Ila kama umepatwa na tatizo la akili kwa sababu ya uvutaji bangi tafsiri yake ni kwamba, wewe tayari ulikuwa na tatizo la akili, isipokuwa bangi ilicho kifanya ni kulidhihirisha tatizo lako.
Ung'eng'e wenye nguvu ya hoja
Bangi ni mbaya...Nawajua watu smart wengi walochanganyikiwa kwa kupiga kijiti
Ni mbaya hii.Alichokiongea mleta mada yupo sahihi sana . Vilevyi kwa 90% havimfanyi mtu kutenda jambo bali vinampa uhuru wa kufanya jambo.
Mfano , hata wewe kuna jambo unaweza kuwa unalipenda sana kufanya ila ubaogopa watu au kuna jambo unalichukia sana ila hupendi kulifanya kulisema watu wajue. Mfano kuna mtu anapenda kutukana ila hajui aanzie wapi. Akitokea mtu anatukana basi hujisikia raha.
Kuna matendo mengi sana yapo akilini mwetu lakini tunajizuia yasitoke kuwa vitendo kamili. Sasa Ukilewa na ukajikuta unamtongiza mke wa jiran au kakako jibu sio chanzo pombe ni weww mwenyewe pombe au bangi imetoa lock tu uweze ku flow
Wazee wenzangu mnazeeka vibaya. Mlipaswa msimame kama wazazi na walezi kwa Vijana wa mwaka 2000 almaarufu Gen Z badala yake mabandiko yenu yamejaa Upotoshi, Maadili mabovu na Hamasa ya Ngono.Bangi haimfanyi mtu kuwa na tatizo la afya ya akili isipokuwa bangi Ina mreveal mtu ambae alikuwa na tatizo la akili lakini jamii haijui kama analo.
Meaning what? Kama una vuta bangi na haupatwi na tatizo la akili tafsiri yake ni kwamba wewe ni mzima kichwani kwa viwango vya juu. Una afya ya akili kwa viwango vya juu.
Ila kama umepatwa na tatizo la akili kwa sababu ya uvutaji bangi tafsiri yake ni kwamba, wewe tayari ulikuwa na tatizo la akili, isipokuwa bangi ilicho kifanya ni kulidhihirisha tatizo lako.
Sijaitetea mtaalamu. Hoja yangu ni kuwa binadamu ana mambo mengi sana akilini kiasi kila mtu akiamua kuyatenda unaweza kushangaa. Jaribu kukusanya matendo yako unayofanya ukiwa pekeyako afu waza kama utaamua kuyafanya mbele za watu wayakuchukuliaje. Hata kama unayapenda?Ni mbaya hii.
Kitu chochote unachofanya under influence mara nying huwa sio sahihi.
Unataka kuiba au kuua au kutenda jinai yoyote, akili inakuambia usifanye sio sawa.
Ww unaenda vuta bangi na inakutawala na unafanya hilo tendo. Wakat sio sahihi.
Alaf wew unakuja kuitetea hapa kuwa kwakuwa vinampa uhuru wa kufanya jambo.
Basi ni sawa.
Huyo mshirikina likud anaandika ujingaNawajua watu smart wengi walochanganyikiwa kwa kupiga kijiti
Bado unaitetea.Sijaitetea mtaalamu. Hoja yangu ni kuwa binadamu ana mambo mengi sana akilini kiasi kila mtu akiamua kuyatenda unaweza kushangaa. Jaribu kukusanya matendo yako unayofanya ukiwa pekeyako afu waza kama utaamua kuyafanya mbele za watu wayakuchukuliaje. Hata kama unayapenda?
Imagine fikiria mchakato wa kupiga nyeto unavyoanza kukusumbua kichwani hadi unaenda kupiga nyeto , unamwaga bao na unaridhika unarudi kuoga unaingia mtaani unatulia na unazidi kuheshimika. Sasa ukivuta bangi ikikuzidia unaweza kupiga nyeto hata kwenye choo cha baa. Na ikitokea watu wakakuona watasema bangi mbaya imepelekea jamaa kufanya haya lakini kiuhalisia umefanya jambo unalofanyaga kwa uficho. Kazi ya bangi na pombe ni kufichua yaliyo kichwani. Bangi au pombe haikufanyi ufanye jambo jipya .
Stimulation ipo katika kitu chochote ile anachothibitisha hapo ni jinsi gani mwili unavyoweza ku nutralize zile external stimulus ambazo siyo bangi tu kuna; pombe nk nk ,sigara nk nk ,energy drinks nk nk,Baadhi ya vyakula(karanga,pweza,mihogo nk nk).Najua ukiulizwa bangi na bia utasema bia kwa upande wa Afya Akili mnywa pombe ni Mwathirika direct tofauti hata na Mvuta Kaya aka kijiti aka canabis sativa aka majina mengiiiiIfike mahali tuache kutumia vibaya influence kidogo tuliyonayo.With all due respect Likud,maelezo yako haya yanweza kuleta madhara zaidi kwenye jamii kuliko kuiponya jamii kutokana na uvutaji bangi.Bangi ina kemikali halisi zinazoingia mwilini na kubadidisha namna mwili unavyotenda.