Huu ndio ukweli usio semwa kuhusu uvutaji wa bangi na tatizo la afya ya akili

Mkuu naona una promote uvutaji wa bangi, bangi ina madhara kuliko wavutaji wajuavyo. Kitu chochote kikitumiwa zaidi ya kawaida lazima kina negative effect.

Najua watasema ooooh! Mimi sio mvutaji sana mara moja kwa mwezi n.k n.k lakini tambua kuna side effects imeanza kutokea maana kila kitu kina pande mbili ( positive & negative). Sasa kama wewe waona tuu positive tambua yakuwa nayo negative ipo sema huioni

Vijana wenzangu tumieni bangi kwa msaada au maelezo wa wataalamu.
 
Alichokiongea mleta mada yupo sahihi sana . Vilevyi kwa 90% havimfanyi mtu kutenda jambo bali vinampa uhuru wa kufanya jambo.

Mfano , hata wewe kuna jambo unaweza kuwa unalipenda sana kufanya ila ubaogopa watu au kuna jambo unalichukia sana ila hupendi kulifanya kulisema watu wajue. Mfano kuna mtu anapenda kutukana ila hajui aanzie wapi. Akitokea mtu anatukana basi hujisikia raha.

Kuna matendo mengi sana yapo akilini mwetu lakini tunajizuia yasitoke kuwa vitendo kamili. Sasa Ukilewa na ukajikuta unamtongoza mke wa jiran au kakako jibu sio chanzo pombe ni weww mwenyewe pombe au bangi imetoa lock tu uweze ku flow


Ubaya wa bangi ni kuwa ulevi wake ni wakudumu . Unaweza kuvuta ukiwa na miaka 20 ila ulevi ukadumu hadi ukiwa na miaka 30 . Ndio pale unaskia watu wamasema yule jamaa bangi sana. Haijalishi hata kama havuti kwa wakati huo togauti na tumbaku au pombe
 
Ni mbaya hii.

Kitu chochote unachofanya under influence mara nying huwa sio sahihi.

Unataka kuiba au kuua au kutenda jinai yoyote, akili inakuambia usifanye sio sawa.

Ww unaenda vuta bangi na inakutawala na unafanya hilo tendo. Wakat sio sahihi.

Alaf wew unakuja kuitetea hapa kuwa kwakuwa vinampa uhuru wa kufanya jambo.
Basi ni sawa.
 
Wazee wenzangu mnazeeka vibaya. Mlipaswa msimame kama wazazi na walezi kwa Vijana wa mwaka 2000 almaarufu Gen Z badala yake mabandiko yenu yamejaa Upotoshi, Maadili mabovu na Hamasa ya Ngono.
 
Sijaitetea mtaalamu. Hoja yangu ni kuwa binadamu ana mambo mengi sana akilini kiasi kila mtu akiamua kuyatenda unaweza kushangaa. Jaribu kukusanya matendo yako unayofanya ukiwa pekeyako afu waza kama utaamua kuyafanya mbele za watu wayakuchukuliaje. Hata kama unayapenda?

Imagine fikiria mchakato wa kupiga nyeto unavyoanza kukusumbua kichwani hadi unaenda kupiga nyeto , unamwaga bao na unaridhika unarudi kuoga unaingia mtaani unatulia na unazidi kuheshimika. Sasa ukivuta bangi ikikuzidia unaweza kupiga nyeto hata kwenye choo cha baa. Na ikitokea watu wakakuona watasema bangi mbaya imepelekea jamaa kufanya haya lakini kiuhalisia umefanya jambo unalofanyaga kwa uficho. Kazi ya bangi na pombe ni kufichua yaliyo kichwani. Bangi au pombe haikufanyi ufanye jambo jipya .
 
We call it Mind Altering Drug ...M.A.D
Tunazitumia kuwehusa wahu wakati wa kuelekea Mapambano.
 
Bado unaitetea.

Mfano wa nyeto pia hauna mantiki.
Lile ni jambo private. Sasa kwann ufanye kwa uwazi.

Ww ushawah kuona watu wanafanya mapenz hadharani.
Achana na wale wanaolipwa, ambao bila shaka wanavuta bangi ili watoe soni.

Mzee usitetee Bangi, kama ww unavuta bas vuta private
 
Wewe tayari umevuta inakupelekesha kwa sasa
 
Stimulation ipo katika kitu chochote ile anachothibitisha hapo ni jinsi gani mwili unavyoweza ku nutralize zile external stimulus ambazo siyo bangi tu kuna; pombe nk nk ,sigara nk nk ,energy drinks nk nk,Baadhi ya vyakula(karanga,pweza,mihogo nk nk).Najua ukiulizwa bangi na bia utasema bia kwa upande wa Afya Akili mnywa pombe ni Mwathirika direct tofauti hata na Mvuta Kaya aka kijiti aka canabis sativa aka majina mengiiii
 
Kama kuna kaukweli fulani, hivi Bob hakuwahi kufungwa kamba ingawa alikuwa anasukuma sana hii kitu na mistari yake inaishi mpaka leo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…