Huu ndio ukweli usio semwa kuhusu uvutaji wa bangi na tatizo la afya ya akili

Kama kuna kaukweli fulani, hivi Bob hakuwahi kufungwa kamba ingawa alikuwa anasukuma sana hii kitu na mistari yake inaishi mpaka leo.
100% Fact
 
100% Fact.

Upo sahihi kabisa mkuu
 
Wazee wenzangu mnazeeka vibaya. Mlipaswa msimame kama wazazi na walezi kwa Vijana wa mwaka 2000 almaarufu Gen Z badala yake mabandiko yenu yamejaa Upotoshi, Maadili mabovu na Hamasa ya Ngono.
Nimeandika u kweli.

Wewe hujawahi sikia watu wakisema " Ukoo huu kuna uchizi? "


Then at the same time ukasikia wakisema " Ukoo huu ni marufuku kuvuta bangi. Mtu wa ukoo huu akivuta bangi lazima awehuke"
 
Bangi sio mzuri kuna kijana jirani yangu kabisa kawa chizi kabisa kwa sababu ya bangi na ma unga .
Wanasema alianza kuvuta bangi baadae akawa anachanganya na unga .
Amekuwa kichaa kabisa bahati nzuri kwao wanajiweza amepelekwa lushoto nasikia kuna hospitali ya watu walioathirika na hayo madawa.
Kuna uwezekano kama asingetumia bangi asingetumia na huo unga .Manake wanaanza kuvuta bangi halafu wanaamia kwenye unga wanapotea mazima
 
Duh! unataka kusema Maghayo The Mongolian Savage toka kitambo ni kichaa ?
 
Ukikutana na changamoto inayo hitaji kutatuliwa kupitia matumizi ya juu ya akili utashindwa.

Kwa mfano umemfumania mkeo na mwanaume mwingine utaishi kuua Jambo ambalo Lina ashiria tatizo la afya ya akili
Kama wewe ni mdhaifu basi, hisia zako zitakuendesha na sio akili
ni kama sio mdhaifu utaweza kuamua hata jambo kubwa ndio bila kupanic na kwa utulivu na ufanisi mkubwa...
Kwa wenye nia nzuri moyoni

Nia zako zinadhihirika kwako unapovuta, kujiamini, kuficha au ku-react inategemea na udhaifu wa afya ya akili yako
 
Ila bangi ingeruhusiwa, wengi wangeitumia kwa tahadhari na wachache tu ndio wangefikia hatua za uraibu kama ilivyo pombe kali... Walichokosea ni kuipiga marufuku kisheria.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…