Huu ndio uzi mpya wa Stars,sasa ni full ushindi!!!

Collar zimekaa kikuda, zinanikumbusha suti za wakuu wa wilaya na usalama wa taifa.
Kifua wazi unyshayweleza kifuani ... kipilipili.com.
 
Nembo ya TFF nayo ya nini ?
Alama za Taifa zinatosha,
Kulikuwa na FAT, sasa TFF, na usishangae kikaja kingine baadaye!
 
Kimuonekano jezi sio nzuri au cjui waliovaa hazijawapendeza shida yao mbaya
 
Kiukweli JEZI za Taifa zinatakiwa ziwe na color ya bendera ya TAIFA.
TUSIPOTOSHE UKWELI.
MATAIFA YOTE NATIONAL TEAM IS A symbol of NATION,period.
 
Kiukweli JEZI za Taifa zinatakiwa ziwe na color ya bendera ya TAIFA.
TUSIPOTOSHE UKWELI.
MATAIFA YOTE NATIONAL TEAM IS A symbol of NATION,period.
Sio lazima ila ni kajiutaratibu tu ambacho watu wamezoea, ila lazima iwe na bendera zipo team kubwa tu ambazo jezi zao sio rangi ya taifa eg Italy
 
Ndio maana kila mpenda soccer Tanzania anaombea Simba na yanga zife ili mpira uweze kuendelea!
Sasa utapata wapi nguo isiyokuwa na rangi!? Wangetumia pink mngesema Mbeya city

Sijawahi kuona Mbeya city wakivaa hiyo nguo ya rangi tajwa hebu fafanua
 
sasa "kuzibikiri"kwa waarabu.
mkuu.akuna.ipya.hizojezi.nyeupe wamechezea sana.na. Wamefungwa kukumbusha za kassim dewji zikaleta shda kisa azina rangi.sijui kipya gani unaamini kwenye.jesi

nauza.majiya upako yatb joshia.nawamwagia.migiin.wanatoka nipm kamoja.laki moja
 
Sio mbaya, nimezipenda zaidi hizo white, angalau naweza nunua stars jersey sasa!
Kama shabiki, naweza pata shirt wapi ambayo ni original??
 
mkuu.akuna.ipya.hizojezi.nyeupe wamechezea sana.na. Wamefungwa kukumbusha za kassim dewji zikaleta shda kisa azina rangi.sijui kipya gani unaamini kwenye.jesi

nauza.majiya upako yatb joshia.nawamwagia.migiin.wanatoka nipm kamoja.laki moja
Jameni, tukifumze kupenda basi, mbona tunaponda sana??
Stars kufanya vizuri ni LAZIMA tuipende? ndio timu yetu.
 
Jez sio sababu ya ushindi katika mechi waache mipira ya kwenda kuroga kwa waganga wa jadi kwanza tuaminie mafunzo na mazoezi mazuri ndiyo sababu pekee ya ushindi
 
Jezi zilikuwa za enzi ya maksimo.

By the way badala ya kutatua tatizo kubwa la kwa nini tunakuwa wasindikizaji kila siku, tunazindua jezi kwa mbwembwe......
 
Hivi hizi jezi ni za kampuni gani? Adidas uhlsport nike puma au?? mbona hazina logo yoyote
 
.....

.....full UKAWA 4 x 4 ..hiyo kijani ingepotea kabisa

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…