Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watavaa hadi batiki mwaka huu.
Sio lazima ila ni kajiutaratibu tu ambacho watu wamezoea, ila lazima iwe na bendera zipo team kubwa tu ambazo jezi zao sio rangi ya taifa eg ItalyKiukweli JEZI za Taifa zinatakiwa ziwe na color ya bendera ya TAIFA.
TUSIPOTOSHE UKWELI.
MATAIFA YOTE NATIONAL TEAM IS A symbol of NATION,period.
Ndio maana kila mpenda soccer Tanzania anaombea Simba na yanga zife ili mpira uweze kuendelea!
Sasa utapata wapi nguo isiyokuwa na rangi!? Wangetumia pink mngesema Mbeya city
mkuu.akuna.ipya.hizojezi.nyeupe wamechezea sana.na. Wamefungwa kukumbusha za kassim dewji zikaleta shda kisa azina rangi.sijui kipya gani unaamini kwenye.jesisasa "kuzibikiri"kwa waarabu.
kama jezi ndio zinacheza tutaona!!! watu walicheza vifua wazi na bila viatu, na walikuwa moto wa kuotea mbali!!
mkuu.akuna.ipya.hizojezi.nyeupe wamechezea sana.na. Wamefungwa kukumbusha za kassim dewji zikaleta shda kisa azina rangi.sijui kipya gani unaamini kwenye.jesisasa "kuzibikiri"kwa waarabu.
Jameni, tukifumze kupenda basi, mbona tunaponda sana??mkuu.akuna.ipya.hizojezi.nyeupe wamechezea sana.na. Wamefungwa kukumbusha za kassim dewji zikaleta shda kisa azina rangi.sijui kipya gani unaamini kwenye.jesi
nauza.majiya upako yatb joshia.nawamwagia.migiin.wanatoka nipm kamoja.laki moja
Huyo alosema kufungwa kwatokana na jezi hayupo sawa nduguSi ninyi hao hao mlikua mnaziponda jezi za stars kwamba ni mbaya thats why timu inafungwa???So what again???
Bora hata bukta zingekuwa nyeusiivi kwe bendera ya taifa kuna rangi nyeupe!?.....hawazijui rangi za taifa, au ujeuri?