Pdidy ktk ubora wakomkuu.akuna.ipya.hizojezi.nyeupe wamechezea sana.na. Wamefungwa kukumbusha za kassim dewji zikaleta shda kisa azina rangi.sijui kipya gani unaamini kwenye.jesi
nauza.majiya upako yatb joshia.nawamwagia.migiin.wanatoka nipm kamoja.laki moja
Watavaa hadi batiki mwaka huu.
Kwani Malinzi anajiuzulu lini?
Jameni, tukifumze kupenda basi, mbona tunaponda sana??
Stars kufanya vizuri ni LAZIMA tuipende? ndio timu yetu.
Sasa "KUZIBIKIRI"kwa waarabu.
Ndio maana kila mpenda soccer Tanzania anaombea Simba na yanga zife ili mpira uweze kuendelea!
Sasa utapata wapi nguo isiyokuwa na rangi!? Wangetumia pink mngesema Mbeya city
Hiyo rangi nyeupe imetokea wapi?
Hata mimi sielewi. Sijui ndio mambo ya Simba na Yanga kwenye timu ya taifa? TFF imejaa watu wa mizaha sana
hii team inapaswa ibadilishwe jina
Naona Adidas wametubwaga, Kuna brand kibao kama puma, new Balance, n.k, wote wakatae kudhamini?