Ok Boss, tuseme hizi tuhuma ni za ukweli na Malinzi anashinikizwa kujiuzulu leo hii na anatii, nini kitatuhakikishia hapatikani mwingine kama au zaidi yake?
wachezaj wenyew hata afya hamna wamelegea
Hahahahahah... Mpwaaa nyani haoni kundulee😀😀😎
Si ninyi hao hao mlikua mnaziponda jezi za stars kwamba ni mbaya thats why timu inafungwa???
So what again???
Jamal Malinzi bora tu angeongoza kampuni ya chemical engineering. Halafu si ajabu hata succesful tenderer for the project, designer, mshindi wa shindano la jezi wote asili yao ni BK.Jamal Malinzi aachie ngazi TFF, football haikuwi kwa ndoto.
Football ni science na si ndoto. Ili tuendelee kwanza tuache ujinga wa kuingia TFF na kufanya pale ndiyo mahala pa kuvuna utajiri.
Hii mambo ya jezi mpya, sijuwi nini kipya yote ni matokeo ya kujitafutia njia za ulaji. Kama mnabisha muulizeni Jamal Malinzi aseme gharama ya designer na gharama ya kutengeneza na kununuwa hizo jezi.
cc Bishanga
Jamal Malinzi bora tu angeongoza kampuni ya chemical engineering. Halafu si ajabu hata succesful tenderer for the project, designer, mshindi wa shindano la jezi wote asili yao ni BK.
Mie naona hata aliyezishona ni mtoto wa shangazi yake, si unaona kwaliti ilivyo mbovu? hata kwenye picha zinaonekana kuwa no kwaliti ya chini sana.
CC Jamal Malinzi
kaka mdhamini naye si anaangalia masilahi...unadhamini timu inayoishia kushiriki mechi za kufuzu kila mwaka lini watakutangaza...