Freeland
JF-Expert Member
- Jan 24, 2012
- 14,481
- 10,227
Ok Boss, tuseme hizi tuhuma ni za ukweli na Malinzi anashinikizwa kujiuzulu leo hii na anatii, nini kitatuhakikishia hapatikani mwingine kama au zaidi yake?
Cha msingi ni kuweka uimara wa kitaasisi na misingi ili taasisi iendeshwe ki proffesional zaidi
Ili kwamba hata kama akija kuingia kichaa wakati mwingine asiathiri hata utendaji wa taasisi
Ila kwa sababu hatujafika huko tunahitaji watu tunaojua na kuamini uwezo wao kama Vile Tenga

