Huu ndio uzi mpya wa Stars,sasa ni full ushindi!!!

Huu ndio uzi mpya wa Stars,sasa ni full ushindi!!!

Ok Boss, tuseme hizi tuhuma ni za ukweli na Malinzi anashinikizwa kujiuzulu leo hii na anatii, nini kitatuhakikishia hapatikani mwingine kama au zaidi yake?

Cha msingi ni kuweka uimara wa kitaasisi na misingi ili taasisi iendeshwe ki proffesional zaidi

Ili kwamba hata kama akija kuingia kichaa wakati mwingine asiathiri hata utendaji wa taasisi

Ila kwa sababu hatujafika huko tunahitaji watu tunaojua na kuamini uwezo wao kama Vile Tenga
 
Hii ilikuwa kutupatia kitu cha kuongea kusahau vipigo vya karibuni kama ilivyo kwenye siasa.
 
Jamal Malinzi aachie ngazi TFF, football haikuwi kwa ndoto.

Football ni science na si ndoto. Ili tuendelee kwanza tuache ujinga wa kuingia TFF na kufanya pale ndiyo mahala pa kuvuna utajiri.

Hii mambo ya jezi mpya, sijuwi nini kipya yote ni matokeo ya kujitafutia njia za ulaji. Kama mnabisha muulizeni Jamal Malinzi aseme gharama ya designer na gharama ya kutengeneza na kununuwa hizo jezi.

cc Bishanga
Jamal Malinzi bora tu angeongoza kampuni ya chemical engineering. Halafu si ajabu hata succesful tenderer for the project, designer, mshindi wa shindano la jezi wote asili yao ni BK.
 
Jezi za mzee makaptula anazoshonaga kwa ajili ya ndondo pale bugurun
 
Hawa viongozi wanaopiga kampein kwa ulagai na kupata madaraka kihuni kama Lowasa ndio matoke yake..tuvumilie..
 
Jamal Malinzi bora tu angeongoza kampuni ya chemical engineering. Halafu si ajabu hata succesful tenderer for the project, designer, mshindi wa shindano la jezi wote asili yao ni BK.

Mie naona hata aliyezishona ni mtoto wa shangazi yake, si unaona kwaliti ilivyo mbovu? hata kwenye picha zinaonekana kuwa no kwaliti ya chini sana.

CC Jamal Malinzi
 
Last edited by a moderator:
Mie naona hata aliyezishona ni mtoto wa shangazi yake, si unaona kwaliti ilivyo mbovu? hata kwenye picha zinaonekana kuwa no kwaliti ya chini sana.

CC Jamal Malinzi

Hiyo design hamna hata ergonomic considerations. Mfano, hizo shorts zimebana mno, zitaathiri performance.. Linganisha
1.jpg
na hizi za wenzetu ..
176-PUMA-BALOTELLI-9-ITALY-HOME-JERSEY-WORLD-CUP-2010-3.jpg
 
Jamal Malinzi

Hizo jezi kitambaa kilichotumika kinaonesha hakipumuwi, wachezaji baada ya dakika kumi za kukimbizana na mpira watakuwa kama wako kwenye oven.

Jamani hivi vitu siku hizi vina sayansi yake si kukurupuka tu. Tazama huyu mchezaji kisha roa jasho kwa kuzivaa tu, bado hata hajaingia nazo kiwanjani. Mtakuja kuniambia wachezaji watavyolalamika na kuchoka haraka.

3.jpg


cc Bishanga
 
Last edited by a moderator:
kaka mdhamini naye si anaangalia masilahi...unadhamini timu inayoishia kushiriki mechi za kufuzu kila mwaka lini watakutangaza...

Hiyo nayo sababu JEZI hiyo wanavaa vichwa vya wendawazimu tu we kwa akili ya kawaida fikiria timu ya Taifa jezi hiyo siyo PUMA,NIKE,ADIDAS N.K.....hii umeiona wap? kama sio TZ tu hii ni aibu,itakuwa mwenge kwa Fund kadogo,fundi said
 
Hata nilogwe hiyo jezi sitoshoboka kuinunua wala kuivaa kama uzalendo ndio huo mimi hapana
 
Back
Top Bottom