Huwezi kuwa shabiki wa CCM halafu ukawa na akili. Mbowe huyu huyu si ndio mlimtia korokoroni kwa miezi minane kwa mashitaka ya ugaidi? Leo amekuwa na upinzani wanaoutaka Watanzania? Watanzania wa wapi, by the way?Pa kukosoa kusoa sana na kupongeza pongeza sana maana nchi yetu ni hiihii wote. Umeme haubagui uwake nyumba gani wala nyumba ya nani.
View: https://youtu.be/3iuacrmxUAs?si=x4MeKWCexU8UFxfF
Pa kukosoa kusoa sana na kupongeza pongeza sana maana nchi yetu ni hiihii wote. Umeme haubagui uwake nyumba gani wala nyumba ya nani.
View: https://youtu.be/3iuacrmxUAs?si=x4MeKWCexU8UFxfF
Mbowe huyu aliyesifiwa na Chacha wa CCM ? Punguza utani.Pa kukosoa kusoa sana na kupongeza pongeza sana maana nchi yetu ni hiihii wote. Umeme haubagui uwake nyumba gani wala nyumba ya nani.
View: https://youtu.be/3iuacrmxUAs?si=x4MeKWCexU8UFxfF
Ahsante leo umesoma. Hata bwawa mlikuwa mnapinga, huko ni kupinga ilimladi unapinga.Hao ni wapinzani?
Wanapinzania nini ; maslahi yao au?
Siku nyingi sisomi takataka zako nyingi humu JF. Hata sijui kama siku moja itatokea akili zikuingie kichwani baada ya wafadhili wako kuondolewa.
Siku nyingine uuambie upinzani huo huo uzoee kutekwa na kuuliwa; unasikia!
Kuwekwa korokoroni hata wanaCCM wanawekwa sana, Tz ni kubwa kuliko wewe na mm. Kila unachofanya usisahau uhuru na haki za wenzio pia.Huwezi kuwa shabiki wa CCM halafu ukawa na akili. Mbowe huyu huyu si ndio mlimtia korokoroni kwa miezi minane kwa mashitaka ya ugaidi? Leo amekuwa na upinzani wanaoutaka Watanzania? Watanzania wa wapi, by the way?
hawa watu watatu wanaouchapa inabidi wapelekwe kwa Kim Jong huko North Korea:
View attachment 3655208
pilikapilika za maisha, alilala usiku mwingi na kuamka asubuhi nyingi.hawa watu watatu wanaouchapa inabidi wapelekwe kwa Kim Jong huko North Korea:
View attachment 3655208
Hao ni wapinzani?
Wanapinzania nini ; maslahi yao au?
Siku nyingi sisomi takataka zako nyingi humu JF. Hata sijui kama siku moja itatokea akili zikuingie kichwani baada ya wafadhili wako kuondolewa.
Siku nyingine uuambie upinzani huo huo uzoee kutekwa na kuuliwa; unasikia!
Pa kukosoa kusoa sana na kupongeza pongeza sana maana nchi yetu ni hiihii wote. Umeme haubagui uwake nyumba gani wala nyumba ya nani.
View: https://youtu.be/3iuacrmxUAs?si=x4MeKWCexU8UFxfF
Tumia mila na desturi zao kuwaletea mabadiliko badala ya kutumia mila na desturi za kigeni kuwaletea mabadiliko. Think Globally and Act locally. Watanzania hawana shida kubwa ya kisiasa, kijamii na kiuchumi, wanahitaji maboresho tu. Ndio maana wanasita ku risk kukubali mtu anaefokafoka, wafokea na anaedhani wao hawajui wanachokitaka.Wapinzani wachumia tumbo kwa sasa watupishe. Tunawahitaji zaidi wapinzani wapambaji na wazalendo kwa nchi yao.
Huo mradi ulizinduliwa na Magufuli wakati huo Mbowe akiwa mwenyekiti wa cdm. Pia Magufuli alizindua mradi wa SGR Mbowe Bado akiwa mwenyekiti wa cdm, tuletee picha. yake akiwa anasema hiki alichokisema leo kwenye uzinduzi wa hizo hafla.Pa kukosoa kusoa sana na kupongeza pongeza sana maana nchi yetu ni hiihii wote. Umeme haubagui uwake nyumba gani wala nyumba ya nani.
View: https://youtu.be/3iuacrmxUAs?si=x4MeKWCexU8UFxfF
Tuonyeshe picha ya Wasira ama Makonda akiwa korokoroni.Kuwekwa korokoroni hata wanaCCM wanawekwa sana, Tz ni kubwa kuliko wewe na mm. Kila unachofanya usisahau uhuru na haki za wenzio pia.
Kuwekwa korokoroni hata wanaCCM wanawekwa sana, Tz ni kubwa kuliko wewe na mm. Kila unachofanya usisahau uhuru na haki za wenzio pia.