kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 18,154
- 17,491
- Thread starter
- #21
HUyu ndio ndio mfano halisi wa upinzani wetu tulionao nchini, njaa inatangulia mbele. Aliyagundua lini haya anayoyasema hapa? Huyu bado anayo magwanda ya CCM kwenye kabati lake la nguo aliyoyavaa wakati anakipigia debe CCM kishinde. Karudi cdm tena kutafuta bei nyingine ya kununuliwa apate fedha 2030.Tuonyeshe picha ya Wasira ama Makonda akiwa korokoroni.
View: https://youtu.be/OOKU_Wgtc58?si=Mqr6Az8PEuvOpB1w