S.M.P2503
Platinum Member
- Nov 25, 2008
- 3,689
- 7,145
Asante, ni kweli.. wapo zaidi ya watano...wote fofofo wameuchapa...Angalia vzr, wapo zaidi ya watano
Asante, ni kweli.. wapo zaidi ya watano...wote fofofo wameuchapa...Angalia vzr, wapo zaidi ya watano
Kama waliotaka kumpindua wangefanikiwa hadithi zenu zingekuwa tofauti kabisa na hizi. Waliouliwa wangeitwa mashujaa wa taifa na wangejengewa mnara wa dhahabu. Siasa kama hizi haziwezi kufua dafu katika zama hizi za Marekani kupigwa na Iran na NATO kushindwa kuipiga Russia na ICC kuwekewa vikwazo na Marekani na China kuwa taifa lenye nguvu kiuchumi na kijeshi duniani.Kama kungekuwa na nia ya dhati kukamata wezi, kuanzia muuaji Samia na genge lake wangekuwa ndani. Lakini walioko ndani ni wa kubambikiwa na kesi za wizi wa kuku.
Kuhusu mauaji na uundwaji wa tume ni sawa, ila haiwezi kuundwa na aliyeagiza mauaji kisha afiche ripoti. Lisu alisema hatuko tayari kwa chaguzi za wizi, cha ajabu rais aliyelazimisha uchaguzi, katangazwa kwa kura za wizi, ikabidi afanye mauaji ili akae madarakani kwa shuruti.
Kwanini anashikiliwa yeye badala ya wewe au Mnyika au Lema au Heche?. Ukipatwa na jambo jiulize kwanza "why me?" swali hili rahisi litakupatia majibu mengi sana kuhusu why you. and not others. Ni mpumbavu tz ambae hajui why him.Mtu unamshikiliaje kwa tuhuma za makosa ya ugaidi bila kuwa na ushahidi wa makosa yake? Ugaidi sio kosa la wizi wa kuku—it’s a very serious charge!
Wana njaa hahahhawa watu watatu wanaouchapa inabidi wapelekwe kwa Kim Jong huko North Korea:
View attachment 3655208
Chadema tunayo safari ndefu. Mimi sio msomi, ni raia tu ambae niko huru kutoa mawazo kwa njia hii kama Katiba yetu inavyoruhusu. Chadema kila mtu yuko suspecious na kila maoni.MAWAZO YA UWANDISHI WAKO BADO NI MGANDO - Huwezi kuandika hoja nzito kama hii bila kupangilia hoja zako kwa mantiki ya msingi kama msomi mzuri - Unakuwa kama hujataka kuandika andiko kama msomi huru nadhani ujitafakari mwandishi kwa hilo maana upo very poor kabisa katika andiko lako unakuwa kama sio msomi au mtu umeenda shule kabisa .....
Elsewhere nilikuambia huwezi kuwa shabiki wa CCM halafu ukawa na akili. Hivi kati ya Lema na Mbowe wa wakati huo, who posed the biggest political threat kwa genge lenu la majambazi?Kwanini anashikiliwa yeye badala ya wewe au Mnyika au Lema au Heche?. Ukipatwa na jambo jiulize kwanza "why me?" swali hili rahisi litakupatia majibu mengi sana kuhusu why you. and not others. Ni mpumbavu tz ambae hajui why him.
Mimi ni mdau wa mabadiliko, na nilikuwa miongoni mwa watu wa mwanzo wa mabadiliko, nilikuwa mtu wa kwanza kurushiwa mabomu ya machozi wakati wa Mtikila wakati huo tukiwa wanafunzi na akina James Mbatia, Nyambabe, Kimaro ambae alikuwa rais wa DARUSO. Kaka nilichojifunza mimi chama cha upinzani nchini kilikuwa DP tu cha Mtikila, the rest ni ajira tu.Elsewhere nilikuambia huwezi kuwa shabiki wa CCM halafu ukawa na akili. Hivi kati ya Lema na Mbowe wa wakati huo, who posed the biggest political threat kwa genge lenu la majambazi?
Hata kwa kutumia busara ya kawaida tu, huwezi kupoteza risasi yako kwa mbweha (ambaye unaweza kupambana naye hata kwa rungu) halafu ukamuacha simba ambaye huwezi kupambana naye kwa rungu!
Sina namna ya kukusaidia kuelewa zaidi ya kukushauri kujielimisha zaidi juu ya harakati mashuhuri za kisiasa kwenye nchi mbalimbali. Anza na harakati za ANC.Mimi ni mdau wa mabadiliko, na nilikuwa miongoni mwa watu wa mwanzo wa mabadiliko, nilikuwa mtu wa kwanza kurushiwa mabomu ya machozi wakati wa Mtikila wakati huo tukiwa wanafunzi na akina James Mbatia, Nyambabe, Kimaro ambae alikuwa rais wa DARUSO. Kaka nilichojifunza mimi chama cha upinzani nchini kilikuwa DP tu cha Mtikila, the rest ni ajira tu.
Eti sasa kuna chama na viongozi wake ambao wanashindwa kutofautisha kati ya mali ya wananchi na mali binafsi ya Rais, wanachoma tu na kuvunjavunja tu kipumbavu. Ukiuliza eti wamekasirika sana wanataka mabadiliko ya haraka. Upumbavu mtupu uliowagawa wananchi.
Unalinganisha vitu viwili visivyoliinganishika wala kufanana. Yaani unalinganisha Mandela na Lissu? CHADEMA NA ANC? Bro rudi darasani. ANC walikuwa waafrika wengi weusi dhidi ya wazungu weupe wachache. ANC ilikuwa ikuungwa mkono na Afrika yote, waarabu hata wazungu wa ulaya Mashariki na Amerika Kusini wakati makaburu walikuwa wakiungwa mkono na nchi chache za Magharibi. ANC ilikuwa ikiungwa mkono na kanisa.Sina namna ya kukusaidia kuelewa zaidi ya kukushauri kujielimisha zaidi juu ya harakati mashuhuri za kisiasa kwenye nchi mbalimbali. Anza na harakati za ANC.
Unalinganisha vitu viwili visivyoliinganishika wala kufanana. Yaani unalinganisha Mandela na Lissu? CHADEMA NA ANC? Bro rudi darasani. ANC walikuwa waafrika wengi weusi dhidi ya wazungu weupe wachache. ANC ilikuwa ikuungwa mkono na Afrika yote, waarabu hata wazungu wa ulaya Mashariki na Amerika Kusini wakati makaburu walikuwa wakiungwa mkono na nchi chache za Magharibi. ANC ilikuwa ikiungwa mkono na kanisa.
Lissu hata kule kwao Ikungi hawamuungi mkono wanaendelea na kazi zao za kuuza kuku wa kienyeji. CCM haitesi wala kubagua watanzania kwa dini, kikabila wala kihuduma, hamna matabaka. Kama kuna mjinga anajifananisha na mapito ya Mandela na akina Luther King jr ni mpumbavu tu hajui hatima yake.
View: https://youtu.be/a4c3MQwGD0g?si=80eob5bcg2Gzwg9p
Mnamdanganya mwenzenu yuko lupango wakati nyie mko kwenye vinena vya wake zetu usiku kucha. Katika afrika hii Tz is the best ever in almost everything. Marais wanaokuja tz sio wapumbavu, tumepiga hatua kubwa kwenye mambo mengi hata kutunza wanyama na wakimbizi kwa miaka mingi. Rais Bill Clinton hakuwa mpumbavu kuiita Tz Arusha the Geneva of Africa. Dunia inafahamu kuwa Tz imezima mapinduzi kama kibatali cha mafuta ya taa. Dunia nzima inampongeza Rais na tz kwa kuzima uasi kwa mafanikio, na mtandao wote unajulikana na kusambaratishwa ni swala la muda tu. Just wait and see.Kwanza sijui kama umesoma na kuelewa nilichoandika! Kimsingi, hakuna unachoelewa. Bora ubaki tu zizini kusubiri maelekezo ya mfugaji wako.
By the way, wakati mwingine, scale ya uhalifu unaofanywa na majambazi wa Serikali ya CCM hata Serikali ya makaburu wa Africa ya Kusini haikuifikia. Makaburu hawakuwahi kuua maelfu ya raia within less than one week!
Kweli ng’ombe ni ng’ombe tu. Duniani hakunaga coup de tat inayofanywa kwa maandamano. It’s 100% legal kwa raia kuwakataa viongozi wao kwa maandamano. Hakuna sheria inayowapangia raia sababu za maandamano, na sababu za maandamano hazihitaji kupendwa na watawala!Mnamdanganya mwenzenu yuko lupango wakati nyie mko kwenye vinena vya wake zetu usiku kucha. Katima afrika Tz is the best ever. Marais wanaokuja tz sio wapumbavu, tumepiga hatua. Tz imezima mapinduzi kama kibatali cha mafuta ya taa. Dunia nzima inampongeza Rais na tz kwa kuzima uasi kwa mafanikio na mtandao wote unajulikana na kusambaratishwa. Just wait and see. Hakuna loopholes ya sheria kwenye mapinduzi. Utatumika hata ushahidi mdogo kama mbegu ya haradari. Ulisema tutaasi na mkaasi kweli mifuko ya vitabu vya sheria ya nini? Malofa wanadogosha vurugu za mapinduzi na kuyakuza mauaji na kusahau baada ya kisa mkasa. PALE yalizimwa mapinduzi kwa operation maalum, hakuna mjinga nchini asiyefahamu waliuliwa waasi waliokuwa na silaha na viberiti mikononi. They wanted to fuc us, we faked them before they faki the entire nation.
Mchangiaji una uelewa mdogo sana ama kwa makusudi au kwa kuchanganyikiwa (bahati mbaya). Tayari tume imesema yale hayakuwa maandamano ya amani (peaceful demonstration) bali uasi (violence) na watu walikuwa na silaha za moto na za jadi na kusababisha raia na askari kupoteza maisha na wengine kuumia. Maandamano yana tabia zake ambazo kwenye yale unayoyaita maandamano tabia hizo hazikuonekana bali zimeonekana tabia za uasi.Kweli ng’ombe ni ng’ombe tu. Duniani hakunaga coup de tat inayofanywa kwa maandamano. It’s 100% legal kwa raia kuwakataa viongozi wao kwa maandamano. Hakuna sheria inayowapangia raia sababu za maandamano, na sababu za maandamano hazihitaji kupendwa na watawala!
Utter nonsense!Mchangiaji una uelewa mdogo sana ama kwa makusudi au kwa kuchanganyikiwa (bahati mbaya). Tayari tume imesema yale hayakuwa maandamano ya amani (peaceful demonstration) bali uasi (violence) na watu walikuwa na silaha za moto na za jadi na kusababisha raia na askari kupoteza maisha na wengine kuumia. Maandamano yana tabia zake ambazo kwenye yale unayoyaita maandamano tabia hizo hazikuonekana bali zimeonekana tabia za uasi.