HUyu ndio ndio mfano halisi wa upinzani wetu tulionao nchini, njaa inatangulia mbele. Aliyagundua lini haya anayoyasema hapa? Huyu bado anayo magwanda ya CCM kwenye kabati lake la nguo aliyoyavaa wakati anakipigia debe CCM kishinde. Karudi cdm tena kutafuta bei nyingine ya kununuliwa apate fedha 2030.Tuonyeshe picha ya Wasira ama Makonda akiwa korokoroni.
Mtu unamshikiliaje kwa tuhuma za makosa ya ugaidi bila kuwa na ushahidi wa makosa yake? Ugaidi sio kosa la wizi wa kuku—it’s a very serious charge!Kuwekwa korokoroni hata wanaCCM wanawekwa sana, Tz ni kubwa kuliko wewe na mm. Kila unachofanya usisahau uhuru na haki za wenzio pia.
Inachekesha kidogo kuona watu wako ukumbini wanasherehekea miaka 30 ya bongo fleva usiku kucha halafu unasikia kuwa kuna mtu yuko gerezani anadai Katiba mpya kwaajili yenu. Wanakulazimisha udai Katiba hata kama wewe huoni tatizo na katiba. Kichaa hajijui.Mtu unamshikiliaje kwa tuhuma za makosa ya ugaidi bila kuwa na ushahidi wa makosa yake? Ugaidi sio kosa la wizi wa kuku—it’s a very serious charge!
Mtu kama huyu akisoma hii mistari miwili anafunga macho na akili; kujifanya ni punguani asiyeelewa kitu!Huo mradi ulizinduliwa na Magufuli wakati huo Mbowe akiwa mwenyekiti wa cdm. Pia Magufuli alizindua mradi wa SGR Mbowe Bado akiwa mwenyekiti wa cdm, tuletee picha. yake akiwa anasema hiki alichokisema leo kwenye uzinduzi wa hizo hafla.
Unaandika kama huna kitu kichwani mwako.Tumia mila na desturi zao kuwaletea mabadiliko badala ya kutumia mila na desturi za kigeni kuwaletea mabadiliko. Think Globally and Act locally. Watanzania hawana shida kubwa ya kisiasa, kijamii na kiuchumi, wanahitaji maboresho tu. Ndio maana wanasita ku risk kukubali mtu anaefokafoka, wafokea na anaedhani wao hawajui wanachokitaka.
Wewe ni mpumbavu mmoja tu ambaye nilikudharau tokea mwanzo.Ahsante leo umesoma. Hata bwawa mlikuwa mnapinga, huko ni kupinga ilimladi unapinga.
Hakuna ukombozi uliowahi kupatikana kwa kupiganiwa na raia wote. The war is fought by just a handful of fighters. Nyerere na wenzake wangekuwa intellectually bankrupt kama mlivyo, Africa mpaka leo ingekuwa bado iko chini ya wakoloni weupe!Inachekesha kidogo kuona watu wako ukumbini wanasherehekea miaka 30 ya bongo fleva usiku kucha halafu unasikia kuwa kuna mtu yuko gerezani anadai Katiba mpya kwaajili yenu. Wanakulazimisha udai Katiba hata kama wewe huoni tatizo na katiba. Kichaa hajijui.
Hicho ni kichaa, ukombozi upi? Nchi imeshakombolewa hii kilichobaki ni kuwakomboa wanawake na watoto dhidi ya ukeketaji, kunyimwa haki zao kama za kurithi ardhi za baba zao, kupigwa na wanaume zao, nk. Kule Mara, Kilimanjaro, na Singida aina hii ya dhuluma ni kubwa sana.Hakuna ukombozi uliowahi kupatikana kwa kupiganiwa na raia wote. The war is fought by just a handful of fighters. Nyerere na wenzake wangekuwa intellectually bankrupt kama mlivyo, Africa mpaka leo ingekuwa bado iko chini ya wakoloni weupe!
Nyie ng’ombe wa mama tulieni zizini tu. Hamna brainpower ya kuchakata issues za ukubwa huu.Hicho ni kichaa, ukombozi upi? Nchi imeshakombolewa hii kilichobaki ni kuwakomboa wanawake na watoto dhidi ya ukeketaji, kunyimwa haki zao kama za kurithi ardhi za baba zao, kupigwa na wanaume zao, nk. Kule Mara, Kilimanjaro, na Singida aina hii ya dhuluma ni kubwa sana.
Ila wameiba sana pesa za umma na kufanya maujai, na kuiba pesa za umma na kufanya mauaju si kosa.Hao hawajatukana wala kuvunja sheria
Kakaaa!! Siku zote unapotaka kufanya jambo lolote kuhusu watu angalia kwanza nani yuko nyuma yako. Angalia difa zao na malengo yanafanana na malengo yako na malengo yako kama yanafanana na malengo ya watu. Dhana ya A to B. B to C na A to C. Kama havioani (congruent) achana haraka na jambo hilo.Nyie ng’ombe wa mama tulieni zizini tu. Hamna brainpower ya kuchakata issues za ukubwa huu.
Leo unamsifia mbowe🤣🤣🤣🤣Kuwekwa korokoroni hata wanaCCM wanawekwa sana, Tz ni kubwa kuliko wewe na mm. Kila unachofanya usisahau uhuru na haki za wenzio pia.
Hiyo ndiyo ile inayojulikana kama kusababisha taharuki na uchochezi kwa watu ambao wanasherekea miaka 30 ya bongo fleva kwa furaha na amani kabisa. Wanaokonga roho zao kwa wasanii wa zamani wa bongo fleva. Yaani huko ni sawa na kuwaambia acheni kufulahi nuneni. Hovyo kabisa. Hata hivyo kama wangeiba sana kama unavyosema leo hii tusingeweza kujenga bwawa kama lile, kusambaza umeme nchi yote, kujenga madaraja, barabara, reli , hispitali shule nchi nzima, kugawa pembejeo za kilimo pamoja na kulipa mishahara ya watumishi. Kuna mambo waambie wavuta bhangi tu vijiweni.Hakuna ukombozi uliowahi kupatikana kwa kupiganiwa na raia wote. The war is fought by just a handful of fighters. Nyerere na wenzake wangekuwa intellectually bankrupt kama mlivyo, Africa mpaka leo ingekuwa bado iko chini ya wakoloni weupe!
Umehamia kwenye bwawa baada ya kushindwa kutuonyesha hao wapinzaniAhsante leo umesoma. Hata bwawa mlikuwa mnapinga, huko ni kupinga ilimladi unapinga.
Ilisemwa pale kuwa kulikuwa na upinzani kutoka ndani na nje ya nchi bwawa lisijengwe. Sasa unajiulizwa mtu gani wa ndani mwenye akiki lazini anaeweza kuchukia bwawa lisijengwe? Lisijengwe kwa maslahi ya nani? Nini sahihi mtu kama huyo kupanda kwenye mtumbwi wa wananchi? Anamsaidia nani? Ana nia gani? Anao mbadala bora kuliko bwawa?Umehamia kwenye bwawa baada ya kushindwa kutuonyesha hao wapinzani
Kuhusu wizi tumesema hizo zitabaki kuwa tuhuma hadi wewe utakapowashitaki mahakamani na kupeleka ushahidi ulionao ili mahaka iwakute na hatia. Utawala wa sheria unatuagiza kufanya hivyo.Ila wameiba sana pesa za umma na kufanya maujai, na kuiba pesa za umma na kufanya mauaju si kosa.
Angalia vzr, wapo zaidi ya watanohawa watu watatu wanaouchapa inabidi wapelekwe kwa Kim Jong huko North Korea:
View attachment 3655208
Sasa uzinduzi c umefanyika jana mzee, mbona Wabongo mnapenda kulalamika hvy kmmk wallah 🙌 , tusubir baada ya huu uzinduzi ndio uje kulalamikaUzinduzi huu hatuoni faida yake kea sababu bei ya umeme imepanda mara kumi ya kabla ya huu ujenzi.sa100 hafai kabisa kuwa dereva wa nchi.
Kama kungekuwa na nia ya dhati kukamata wezi, kuanzia muuaji Samia na genge lake wangekuwa ndani. Lakini walioko ndani ni wa kubambikiwa na kesi za wizi wa kuku.Kuhusu wizi tumesema hizo zitabaki kuwa tuhuma hadi wewe utakapowashitaki mahakamani na kupeleka ushahidi ulionao ili mahaka iwakute na hatia. Utawala wa sheria unatuagiza kufanya hivyo.
Kuhusu waliouliwa: Watanzania tumekubaliana tuunde tume ili sote tujue nani aliua nani wangapi kwasababu gani. Tusubiri tume. Utawala wa sheria utatuagiza tufanye hivyo. Tunachojua mpaka sasa yale hayakuwa maandamano ulikuwa uasi kama Lissu alivyoahidi.