Huu ndiyo utaratibu wa Diamond Platnumz kubadili jina

We acha mbona ye Mond alisema alimuona mara ya kwanza nyange akiwa na umri wa miaka 11 baada ya kuelekezawa anakofanya kazi na mamake romy jones, na alipoenda alimpa mchele na tshs 200, maana alikuwa akiuza mchele sokoni.
Ukifuatilia hizi stori unaona kabisa huyo Nyange alikuwa hana kitu, masikini muuza nafaka sokoni.

Na kwakuwa huyo Mzee Abdul alikuwa na pesa, basi huyo mama akaamua kumpa hiyo mimba. Maana mama mwenyewe anaonekana mpenda bata.
 
Ukifuatilia hizi stori unaona kabisa huyo Nyange alikuwa hana kitu, masikini muuza nafaka sokoni.

Na kwakuwa huyo Mzee Abdul alikuwa na pesa, basi huyo mama akaamua kumpa hiyo mimba. Maana mama mwenyewe anaonekana mpenda bata.
Hata mimi baada ya kuskia ile interview nikagundua Mzee Abdul aliuziwa mimba kisa ana pesa huku Nyange akijua kabisa juu ya hilo.
 
Wanasema nyange alikuwa marehemu mondi akiwa mimba

Si ajabu mzee nyange aliwaishwa sababu ya kuona mzee Abdul anamfaidi Bi sadra
Mond kwenye interview yake kasema alimjua baba yake halisi ambaye ni mzee nyange akiwa na miaka 11 siku hiyo mond alipewa mchele na miaka mbili coz mzee nyange alikua anauza mchele
 
Sidhani kama ni vyema kuendelea kumkana Baba, hata kama si Baba yako. Kwangu mimi amtunze tu huyo Mzee Abdul . Amkatie bima hata ya premium, na kila mwezi ampe hata Tshs.100,000/- itamtosha Baba yake katika majukumu ya kila siku. Hata asipofanya mengine ni sawa. OTHERWISE LAANA Itamkuta
 
Diamond anaweza kujibadilishia upepo wa baraka za Maisha kwa kubadili Jina tu.

Jina la Naseeb Abdul limekuwa na mafanikio makubwa sana kwake, Sasa hili jipya tenaa..!
 
Hivi kwanini Diamond amekosona na huyu mzee Abdul?

Hivi kweli na mihela yote ile anashindwa mpa hata huyu mzee milioni moja kila mwezi awe anakula maisha.?

Au kuna kitu nyuma ya pazia kuhusu Diamond kumkataa huyu baba?

Mkuu utavamiwa na MISUKULE ya DAYAMONDI , Humu Dayamondi hatakiwi kusemwa negative yaani humu unatakiwa kumsifia tu.
 
Huyo Mzee hilo jina la Abdul Juma kalisajili kama Trade Mark yake?
 
Mkuu utavamiwa na MISUKULE ya DAYAMONDI , Humu Dayamondi hatakiwi kusemwa negative yaani humu unatakiwa kumsifia tu.
... kuna lile lililosema lingekuwa KE lingemzalia jamaa hata watoto watatu sijui kama linaweza kuelewa!
 
Uwezo wake wa kufikiri ndo umeishia hapo msamehe.

Nilikosea herufi moja kwenye kitambulisho cha nida ilinikost stasahau.
Ulitumia bei gani maana mie nataka nikabadili niweke majina mawili tu ndio niliyotumia kwenye vyeti vyangu vyote vya shule....
 
Kabla ya kubadili jina akafanye DNA kujua nani ni Baba yake, ndipo hapo majibu yatarudi kwamba Abdul ndiye Baba halali.


 
Posta Office inaitwaje Mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…