one one
JF-Expert Member
- May 14, 2020
- 332
- 372
Uwezo wake wa kufikiri ndo umeishia hapo msamehe.Tuzo zake, vyeti majina ya watoto atabadili?
Nilikosea herufi moja kwenye kitambulisho cha nida ilinikost stasahau.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uwezo wake wa kufikiri ndo umeishia hapo msamehe.Tuzo zake, vyeti majina ya watoto atabadili?
Ukifuatilia hizi stori unaona kabisa huyo Nyange alikuwa hana kitu, masikini muuza nafaka sokoni.We acha mbona ye Mond alisema alimuona mara ya kwanza nyange akiwa na umri wa miaka 11 baada ya kuelekezawa anakofanya kazi na mamake romy jones, na alipoenda alimpa mchele na tshs 200, maana alikuwa akiuza mchele sokoni.
Waswahili wana mambo mengi, labda ni masharti ya MGANGA.Hivi kwanini Diamond amekosona na huyu mzee Abdul?
Hivi kweli na mihela yote ile anashindwa mpa hata huyu mzee milioni moja kila mwezi awe anakula maisha.?
Au kuna kitu nyuma ya pazia kuhusu Diamond kumkataa huyu baba?
Hata mimi baada ya kuskia ile interview nikagundua Mzee Abdul aliuziwa mimba kisa ana pesa huku Nyange akijua kabisa juu ya hilo.Ukifuatilia hizi stori unaona kabisa huyo Nyange alikuwa hana kitu, masikini muuza nafaka sokoni.
Na kwakuwa huyo Mzee Abdul alikuwa na pesa, basi huyo mama akaamua kumpa hiyo mimba. Maana mama mwenyewe anaonekana mpenda bata.
Mond kwenye interview yake kasema alimjua baba yake halisi ambaye ni mzee nyange akiwa na miaka 11 siku hiyo mond alipewa mchele na miaka mbili coz mzee nyange alikua anauza mcheleWanasema nyange alikuwa marehemu mondi akiwa mimba
Si ajabu mzee nyange aliwaishwa sababu ya kuona mzee Abdul anamfaidi Bi sadra
Inawezekana kabisaWaswahili wana mambo mengi, labda ni masharti ya MGANGA.
Hivi kwanini Diamond amekosona na huyu mzee Abdul?
Hivi kweli na mihela yote ile anashindwa mpa hata huyu mzee milioni moja kila mwezi awe anakula maisha.?
Au kuna kitu nyuma ya pazia kuhusu Diamond kumkataa huyu baba?
Huyo Mzee hilo jina la Abdul Juma kalisajili kama Trade Mark yake?Mzee Abdul Juma amemtaka Diamond Platnumz abadili jina aache kutumia jina la Abdul Juma badala yake atumie jina la anayedaiwa kuwa baba yake yaani Nyange Salum.
Utaratibu wa kubadili jina upo hivi,
1. Diamond atafute mwanasheria wa kumuandalia Deed poll (Kiapo cha kubadili jina) siku hizi Kuna wanasheria wanaandaa hata kwa elfu thelathini (30000) by the way Diamond Platnumz ana wanasheria wake
2. Then unaenda kwa Registrar of documents pale Posta unasajili deed poll yako unalipia tena elfu 33000 then unasubiri siku 14 unapata majibu.
Yaani ukiwa na 63000 unabadili jina ndani ya siku 14.
Nakutakia kila la kheri Naseeb Salum Nyange (Diamond Platnumz) katika kubadili jina lako.
Daah hatari sana aisee..Mkuu utavamiwa na MISUKULE ya DAYAMONDI , Humu Dayamondi hatakiwi kusemwa negative yaani humu unatakiwa kumsifia tu.
... kuna lile lililosema lingekuwa KE lingemzalia jamaa hata watoto watatu sijui kama linaweza kuelewa!Mkuu utavamiwa na MISUKULE ya DAYAMONDI , Humu Dayamondi hatakiwi kusemwa negative yaani humu unatakiwa kumsifia tu.
... kuna lile lililosema lingekuwa KE lingemzalia jamaa hata watoto watatu sijui kama linaweza kuelewa!
Aisee
Haya funguka
Mdogo wake mzee nyange
Ulitumia bei gani maana mie nataka nikabadili niweke majina mawili tu ndio niliyotumia kwenye vyeti vyangu vyote vya shule....Uwezo wake wa kufikiri ndo umeishia hapo msamehe.
Nilikosea herufi moja kwenye kitambulisho cha nida ilinikost stasahau.
Mzee Abdul Juma amemtaka Diamond Platnumz abadili jina aache kutumia jina la Abdul Juma badala yake atumie jina la anayedaiwa kuwa baba yake yaani Nyange Salum.
Utaratibu wa kubadili jina upo hivi,
1. Diamond atafute mwanasheria wa kumuandalia Deed poll (Kiapo cha kubadili jina) siku hizi Kuna wanasheria wanaandaa hata kwa elfu thelathini (30000) by the way Diamond Platnumz ana wanasheria wake
2. Then unaenda kwa Registrar of documents pale Posta unasajili deed poll yako unalipia tena elfu 33000 then unasubiri siku 14 unapata majibu.
Yaani ukiwa na 63000 unabadili jina ndani ya siku 14.
Nakutakia kila la kheri Naseeb Salum Nyange (Diamond Platnumz) katika kubadili jina lako.
Posta Office inaitwaje Mkuu?Mzee Abdul Juma amemtaka Diamond Platnumz abadili jina aache kutumia jina la Abdul Juma badala yake atumie jina la anayedaiwa kuwa baba yake yaani Nyange Salum.
Utaratibu wa kubadili jina upo hivi,
1. Diamond atafute mwanasheria wa kumuandalia Deed poll (Kiapo cha kubadili jina) siku hizi Kuna wanasheria wanaandaa hata kwa elfu thelathini (30000) by the way Diamond Platnumz ana wanasheria wake
2. Then unaenda kwa Registrar of documents pale Posta unasajili deed poll yako unalipia tena elfu 33000 then unasubiri siku 14 unapata majibu.
Yaani ukiwa na 63000 unabadili jina ndani ya siku 14.
Nakutakia kila la kheri Naseeb Salum Nyange (Diamond Platnumz) katika kubadili jina lako.
Uko sahihi kabisa MkuuKabla ya kubadili jina akafanye DNA kujua nani ni Baba yake, ndipo hapo majibu yatarudi kwamba Abdul ndiye Baba halali.