DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Baada mchakato mzima wa utafutaji, utafanikiwa kupata riziki na maisha mazuri na kuinuliwa.
Baada ya hapo atapatikana mwanamke ambaye utaamua ufanye engagement na yeye
(kumtabulisha na kumvisha pete)
Siku zitaenda itakuwa Asubuhi na itakuwa mchana na hatimaye ndani ya uchumba wenu mtafanikiwa kufunga ndoa takatifu ambayo itahitimisha safari yenu ya uchumba na kuanza kuitwa mume na mke.
Baada ya ndoa takatifu mtabarikiwa kuishi kwa Amani na upendo na Mungu atawabariki watoto ,mtakaowalea katika misingi ya hofu ya Mungu huku mkipata wasaa wa kulisoma neno pamoja.
Ndoa yenu itafanyika baraka Sana, Afya itatawala, hamtozalisha mapooza na hatimaye wewe na mke wako mtazeeka pamoja.
Kama ilivyoandikwa kuwa siku za binadamu sio nyingi hivyo katika umri wako wa uzee utaanza kuumwa maradhi ambayo yatatokana na uzee , ambayo yatakupa tafsiri halisi kuwa this world is not my home and my treasure is in heaven.
Na mwisho utaondoka duniani na utazikiwa Kwa heshima ,huku ukiacha kumbukumbuku ya kudumu katika mioyo ya watu.
Haya ndo maisha ya DR HAYA LAND
I want to live in this world peacefully and to leave this world peacefully