Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijawaza kuoa haya maisha yangu nayajua mwenyewe...
Assume unadate na mdada ambaye anathamini kujisnap...
Assume unadate na mdada anaesema kwao kachoka wali na ugali kila siku hivyo anataka chipsi..
Assume unadate na mdada ambaye hata ukimuuliza what your goals hajui una maanisha nini....
Assume unakaa na mtu yeye kila mwanaume anamchekea, kila mwanaume anampa namba....
Mimi kuoa bado sana dactar wee ishi humo kutokana na ushaweka stable system. Ila mimi bado sana tena sana nipo katika rika la kufanya semen retention......
Burudani yangu kubwa ni music na movies kuja kuoa ni mpaka pale tapata wa kuendana nae..
Na huyo wa kuendana na kwa sasa wanapatikana ndani ndani huko tena huyo unakuta ni wa kumfundisha wewe
View attachment 3125368
Tujapokufa tutaishi... 👍nachukia sana kifo mimi yani after all ups and downs ni kifo na kinakuja kwa lazima utake usitake unaondoka inachoma moyo sana
Maisha yetu ni hadithi tu......Life is about donation and not duration . be a giver and not a taker
Maisha yetu ni hadithi tu......
Basi tuwe hadithi njema kwa hao...
Watakao simuliwa
Hapo kusema no more MISHANGAZI i can't ...,🤗🤗🤗
Ni vizuri ukaanzia katika hatima kuja mwanzo na sio mwanzo kuja katika hatima.
Usiache kujitamkia mema
Kufikiri Kwa uchanya
Na kujiingiza kwa kile unachohitaji.
Nature itakuletea ur right choice . believe and claim it.
Say no more Mishangazi
Say no more Gold digger
Say no more broke women
Say no more being play boy
The better way you can use to prophecy ur future sit down and listen ur words.