Kama wewe mwenye IDβs nyingi.Watanzania hawajafunzwa namna bora ya ku reason na kuja na judgements zao wenyewe..
Yaani ndo maana hata kwenye siasa ni rahisi sana kuwashika, maana hawafanyi logic, wanafata nani anasema sana.
Wabongo wengi ni kama kondoo, all it takes ni atokee kondoo mmoja mjanja aanzishe safari na wote watafwata.
Unaweza kutokea trending stori moja, then atokee mtu mwenye stori kuhusu hicho kitimbwi.. Watu watafwata kile kinasemwa sana, ila sio ukweli kuhusu.
Nilicho ukiona ni kuwa wabongo wengi, now hata kujisimamia ila hakuna
Kuna members humu wanaojifanya wao wana akili, wana pesa na wanajitambua sana ndo wanatuita watanzania tuliobakia kwamba sisi ni wamatumbi na hatuna maisha.Kumbe wamatumbi ndio watz !?hili jina limetoka wapi
Arudishe na lugha yetu' atumie ya kwaoKama umejitoa hivi, au wewe sio miongoni mwetu watizii?
Hakika! Hakika!Arudishe na lugha yetu' atumie ya kwao
Sio sifa, hakuna anaye furaha kuona jamii iliyo ozaKuna members humu wanaojifanya wao wana akili, wana pesa na wanajitambua sana ndo wanatuita watanzania tuliobakia kwamba sisi ni wamatumbi na hatuna maisha.
Ni ujinga tu na sifa zao za kujiona wanayajua sana maisha
Ndo maana makanisani wanaitwa kondoo ππππππ
Kwani uongo?Kuna members humu wanaojifanya wao wana akili, wana pesa na wanajitambua sana ndo wanatuita watanzania tuliobakia kwamba sisi ni wamatumbi na hatuna maisha.
Ni ujinga tu na sifa zao za kujiona wanayajua sana maisha