Labda hujapata mtu akakupenda ndio maana post yangu ya kwanza nimekuambia keep on dating/explore, zipo ndoa nyingi tu zimeshikiliwa na upendo, na upendo umekuwa kama buffer kwa yote wanayopitia.
Pili nimekushauri usijiweke Una pesa, utawavutia wanazozihitaji, kama mtu anaanza dharau kisa unapitia hard times ujue tangia mwanzo hakuwa mtu sahihi..