antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 47,274
- 126,778
Mada inalenga sasa hivi.. na nina hakika huwezi kutoa bure 🤣 😂I have done in the past, nilivyokua msichana, sasa hivi sijui 🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤣🤣🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mada inalenga sasa hivi.. na nina hakika huwezi kutoa bure 🤣 😂I have done in the past, nilivyokua msichana, sasa hivi sijui 🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤣🤣🤣🤣
Labda hujapata mtu akakupenda ndio maana post yangu ya kwanza nimekuambia keep on dating/explore, zipo ndoa nyingi tu zimeshikiliwa na upendo, na upendo umekuwa kama buffer kwa yote wanayopitia.Kupinga reality ni dhambi ya jamii "social sin"
Hapa wewe unapinga reality, unaitendea dhambi jamii.
Ni mwanamke gani dunia hii atampenda mwanaume wake hata kama anapitia hard times? Ukishakosa hela dharau zinaanza
nimecheka sana😂 imani mtu anakuchuna we unaamini tumapenzi ni kama Dini/imani
Ndio maana yake eti,ukiwaza sana utakonda,...nimecheka sana😂 imani mtu anakuchuna we unaamini tu
lazima tuwaze, tena sisi tusio na uchumi ndo tunawaza zaidi, its all fun and games until she leaves you for the richer guyNdio maana yake eti,ukiwaza sana utakonda,...
Hakuna asiependa hela.Afu hua wanasema hawapendi hela ila ukiwa nae mizinga kama kawa....