Huu ndo ukweli, "Unconditional love is for women, kids and dogs", mwanaume kama mkono mtupu wewe sahau kupendwa labda usaliti kambi.

Huu ndo ukweli, "Unconditional love is for women, kids and dogs", mwanaume kama mkono mtupu wewe sahau kupendwa labda usaliti kambi.

Kupinga reality ni dhambi ya jamii "social sin"

Hapa wewe unapinga reality, unaitendea dhambi jamii.

Ni mwanamke gani dunia hii atampenda mwanaume wake hata kama anapitia hard times? Ukishakosa hela dharau zinaanza
Labda hujapata mtu akakupenda ndio maana post yangu ya kwanza nimekuambia keep on dating/explore, zipo ndoa nyingi tu zimeshikiliwa na upendo, na upendo umekuwa kama buffer kwa yote wanayopitia.

Pili nimekushauri usijiweke Una pesa, utawavutia wanazozihitaji, kama mtu anaanza dharau kisa unapitia hard times ujue tangia mwanzo hakuwa mtu sahihi..
 
Back
Top Bottom