Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
Kwa kifupi Nchi za Magharibi zinatusaidia kuanzia miradi ya Afya ikiwemo kupambana na magonjwa kama Ukimwi, Kifua kikuu, utapia mlo na mingine mingi. Zinatusaidia Kuokoa uhai wa Mama wajawazito na watoto kwa kutoa fedha nyingi sana tunazotumia kuboresha hospitali zetu!
Nchi hizi zinatusaidia hadi kutujengea vituo vya kupokea kupoza na kusambaza umeme. Miradi mingi inayoendelea ni fedha wanazotoa wao kama misaada!
Zinatusaidia hadi kwenye miradi ya uzalishaji chakula ili tuwe na chakula cha kutosha.
Zinatusaidia kwenye masuala ya ya nishati mbadala bila kusahau miradi ya ujenzi wa shule, maji , hospitali na maeneo mengi.
Sijawahi ona mchina akitusaidia miradi ya afya zetu na uhai wetu.
Sijawahi ona Urusi akitusaidia miradi ya afya zetu na uhai wetu.
Kusema ukweli namuonea sana huruma aliyewapiga biti hawa watu. Wakati ndo wanawasaidia wajisifu kwa wananchi kuwa wanatoa huduma bora.
Tuwaombe tu hawa wakubwa wamuonee huruma wasimchukulie hatua kali huyu aliyewatishia. Maana wakimchukulia hatua tu twafaaaaa🙌