Huu ndo Ushahidi wa Nchi za Magharibi zinavyotusaidia. Anayewatukana na kuwasimanga muonee huruma sana!

Huu ndo Ushahidi wa Nchi za Magharibi zinavyotusaidia. Anayewatukana na kuwasimanga muonee huruma sana!

Mbona mambo kibao yanaenda kwa ushirikiano wa China na mambo yanasonga??
Kwanini wamagharibi wasifanye kama China we do business with mutual benefit??
Shida yako akili kisoda.
Una akili mgando.
Nakubaliana na wewe lakini tutambue kila taifa lina sera zake za ndani na nje wao wamechagua njia hiyo.

Inaweza kufurahisha na kukera vile vile kulingana na wakati
 
Sekta ya Afya kakusaidia nini? Anatoa shilingi ngapi kila mwaka kwa ajili ya Tanzania?

Tupe ushahidi
90% ya Madaktari wamesomeshwa Urusi. Kwenye majeshi yetu vifaa na mafunzo almost 100% ni kutoka Urusi na China. Vitu nyeti huwa havitolewi figure endelea kupata figure kutoka kwa hao wezi US.
 
Huna taarifa zakutosha hivi unajua miaka ya 70s walifuta misaada yao eti kwa kuwa sisi tulikaa ujinga wao lakini Urusi na China waliendelea kusaidia TZ mpaka leo na misaada yao ni mizuri ya kukusaidia kujikwamua. Siyo ya hawa US ambao hutengeneza tatizo then wanajifanya kukusaidia kama unavyoona kwenye Ukimwi na COVID.
Kwa nini Nyerere aling'atuka ?

Tuliza akili jibu swali hili na rudi kusoma ulicho andika hapa.
 
Mbumbumbu wa ku-google Urusi na China hapo kwenye nchi zinazokuwa termed kama za magharibi.
Acha Ukunguni mama, Westen word unapokuja kwenye masuala ya kimaslahi ipo Western, hata USA....sio unakariri Location tu

Haya orodhesha hapa Misaada mikubwa tuliyoipata kutoka Urusi
 
90% ya Madaktari wamesomeshwa Urusi. Kwenye majeshi yetu vifaa na mafunzo almost 100% ni kutoka Urusi na China. Vitu nyeti huwa havitolewi figure endelea kupata figure kutoka kwa hao wezi US.
Asilimia 90 hizo takwimu umezitoa wapi?

Sasa mafunzo ya kijeshi ndo mradi unaogusa jamii? Mbona hata Uingereza Wanajeshi wetu wanafunzwa? Mbona hsta Israel na Marekani??

Hivi unajua hata Nyerere alivyotaka kupinduliwa ni Waingereza ndo walikuja kuzima mapinduzi? Unadhani wangewaachia Jeshi wachukue nchi leo CCM mngekuwa madarakani?

Jinga kabisa wewe!
 
90% ya Madaktari wamesomeshwa Urusi. Kwenye majeshi yetu vifaa na mafunzo almost 100% ni kutoka Urusi na China. Vitu nyeti huwa havitolewi figure endelea kupata figure kutoka kwa hao wezi US.
Ushahidi anaokuja nao hapa ni tweets.

Kuna watu wanajua kupotosha wenzao.
 
  • Nzuri
Reactions: UCD
Wanachotoa kinatusaidia halafu sisi hata tukiachwa hatuwezi kukitoa
Misaada yao haijawahi tukusaidia kwenda mbele bali ni kuwategemezi zaidi ndio màana tukikataa misàada yao wanakasilika.
 
Misaada yao haijawahi tukusaidia kwenda mbele bali ni kuwategemezi zaidi ndio màana tukikataa misàada yao wanakasilika.
Kwa hiyo miradi ya maji, kuzuia makali ya ukimwi, umeme haijawahi kukusaidia?

We kweli zumbukuku
 
Unapost wewe halafu mimi nikuwekee wewe ushahidi??

Upo serious kweli??
Nakupa challenge basi! Anzisha uzi wako kuelezea miradi ya kijamii na maendeleo tunayosaidiwa na Urusi na China alafu weka na ushahidi kama unaweza
 
Hakuna msaada wa bure, wao wanakomba mara kibao ya wanavyoleta.

Mfano mzuri Magufuli alipigwa biti asiwaguse Barrick la sivyo wanasitisha misaada.

Baada ya kuanza kushambuliana kuhusu misaada fikirieni ni vipi mtaji toa kwenye budget deficit,

Sio sifa kujisifia misaada.
Unaposema wanakomba kwani wanaishikia mtutu Tanzania? njaa za wanasiasa zinazopelekea wao wenyewe kutaka hongo nene huku wakilegeza mikataba katika hili wa kulaumiwa ni serikali yenyewe. BAE systems walivyorudisha change ya rada? ili hali huku Tanzania viongozi waliopewa dhamna badala hata ya kuungana na wapigania haki wa UK wao ndo kwanza wakawa mstari wa mbele kutaka change isirudi wakidai wala hakuna upigaji. Mataifa makini hupambania raia wao ndo maana UAE kupitia dubai port world anaingia mikataba ya kidhulumati na viongozi wenye njaa wa nchi kama Tanzagiza maana wanapambania watu wao na ni dubai haohao kupitia dubai cares INGO yao utakuta then wanasema wameisadida Tanzania.
Duniani ukilegea kupambania chako usitegemee kila siku kuna wa kukupambania. Katika kulegea kwako watu wanaona fursa na wanatumia hiyo nafasi kujinufaisha.

Sawa sio sifa kujisifia misaada lakini fikiria misaada inayotolewa je wananchi wasipokee? je wananchi wasione kuwa ikikosekana ni wao watakaopata shida? Serikali inayowaza kukusanya kodi kiubwete ubwete tena ikiwa ni kodi kubwa kubwa (ambazo nazo % zinaliwa tu) badala ya kufikiria kuongeza export kwa kupunguza gharama za uzalishaji wa huduma na bidhaa inawezaje kujitoa kwenye budget deficit?
Kumbuka misaada ikikata leo viongozi hawapati shida kamwe ila wananchi wanaotegemea hiyo misaada ndo wanaoumia.

Kingine kumbuka wewe unaona msaada wenzio wanaona wametoa sadaka kwa Mungu/miungu yao na sadaka katika hali ya kawaida haikataliwagi. Pata picha leo hii kiubabe tu na kukomoana Tz ikatae misaada ya visima vya maji vya waturuki, wakuwait na kadhalika unafikira nani ni looser hapo? kama sio hao wanaosaidiwa?
 
  • Dislike
Reactions: UCD
Kwa hiyo miradi ya maji, kuzuia makali ya ukimwi, umeme haijawahi kukusaidia?

We kweli zumbukuku
Mradi upi wa maana US wametoa? Ukimwi walileta wao kwa faida yao hao mabwana zao. Naona unavyowatetea as if wewe ni Mmarekani. Wengine tumefanyakazi kwenye miradi yao na bado tuna diss pia.
 
Misaada yao haijawahi tukusaidia kwenda mbele bali ni kuwategemezi zaidi ndio màana tukikataa misàada yao wanakasilika.
Sio Kweli kwamba misaada yao haijatusaidia

Uliwahi kujiuliza kwa hizi Communicable disease kuwepo Afrika tungeweza kuziondoaje?

- VItabu mashuleni kwa % kubwa vinasambazwa kwa misaada yao

- Computers zinazotumika katika maofisi mengi hasa za umma, shuleni, mahospitalini na sehemu zinginezo zinatoka kwao

- Hizi CT Scan, Dialysis machine, na Ultra Sound Machine zinatoka kwao

- Vyombo vya Usafiri vya Anga, Ardhini na majini

- Kutusomeshea Madaktari na Wataalamu wengine wabobevu

Wabongo bana...huwa Wanabisha vitu vilivyo wazi, hata teknolojia unayotumia hapa ya Mobile phones, laptops au Tablets ni yao....Na bado unasema havitusaidii 🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom