Kama Afrika ikiamua inaweza ila ikubali kulipa gharama kubwa.Hakuna nchi ya Africa ya kuweza kushindana na magharibi kama kweli wakichukulia jambo lao serious nasema hakuna.
Duniani ni mataifa machache sana yenye huo ubavu yanahesabika tena kwa kubebana.
Magharibi bado wameshikilia mifumo mingi sana ya kidunia toka miaka mia iliyopita.
Xi kumuambia Putin mabadiliko ya sasa haijawahi tokea sio kauli ndogo.
Tena Africa ilivyo jaza wajinga wajinga bado sana kupambana na magharibi uwe umejipanga haswa.
Kuweza inawezekana sana tu japo gharama zake kubwa.
With some debate .We Kunguni acha ujuaji
Umesoma hilo eneo hadi mwisho??
Russia sio western nation.