Huu ndo Ushahidi wa Nchi za Magharibi zinavyotusaidia. Anayewatukana na kuwasimanga muonee huruma sana!

Huu ndo Ushahidi wa Nchi za Magharibi zinavyotusaidia. Anayewatukana na kuwasimanga muonee huruma sana!

Mkuu mtu akija kwako anachuma mchicha wa 500 anauza halafu baadae anakuletea 200 jioni hakusaidii, hao wanahitaji Africa zaidi kuliko Africa inavyowahitaji wao. Mentality zenu hizo ndio za Kutojitegemea ndio zinafanya kila siku bara lipo gizani.
Hii ndiyo elimu ya kukaririshwa shuleni ktk shule zetu...

Kama ndiyo hivyo, si kauchume mwenyewe huo mchicha ili ukauze 500 na ubaki nazo zote...???

Na kama huwezi kuuchuma mwenyewe, unategemea uchumiwe na mtu mwingine kwanini unamdharau huyo mtu anayekusaidia kwa wakati huo...?

Kama ndiyo tabia yako ya kutukana na kudharau waliokusaidia ulipokuwa hujiwezi, basi subiri mpaka akili yako itakapokuwezesha kujiweza kujichumia huo mchicha mwenyewe kisha warudie na watukane....

Otherwise unapotukana wakunga huku uzazi ungalipo, wewe huna akili na huna maarifa wala ufahamu. Na huyu ndiye Rais wenu Samia Suluhu Hassan....!!

Msaidieni kumwambia ukweli. Acheni ujinga wa kujidanganya hivi....!!
 
Ninyi mnaowasifia wazungu ndio hamjitambui.
Pia inaonesha mnapimia mambo kiutoto sana aisee.
Hata history inaonekana mlifeli darasani.
Hao wazungu kwa mwamvuli wa msaada wa kifedha ndio wamewafikisha hapa.
Embu nitajie,kuna kipi kikubwa ambacho mzungu amekufanyia ambacho ni potential hadi sasa??
Kwani alishindwa kuzindua kiwanda cha chandarua hadi aje akuletee msaada wa vyandarua??
Hapo tu akili yako haiamki??
Wewe umefanya nini potential bila mzungu....pesa huna kila siku kukopa......mpaka matundu ya choo.."Kwa msaada wa watu wa Marekani.. 😀
 
Mbona mambo kibao yanaenda kwa ushirikiano wa China na mambo yanasonga??
Kwanini wamagharibi wasifanye kama China we do business with mutual benefit??
Shida yako akili kisoda.
Una akili mgando.
Kwa hiyo umekubali huna uwezo.......mpaka unaenda China.:FeelsDance:
 
Reli ya Tazara amekujengea China.
Smart fone amekuletea China.
Madaraja amekujengea China.
Miundombinu barabara amekujengea China.
Soko lako la parachichi kubwa moja wapo ni China.

Wakati huo USA hakukufanyia lolote wewe.
Anakutega kwa misaada ya vyandarua.
Hata huijui dunia ikoje China ndio amekuletea globalisation.

China ni business man masuala ya wewe na chama chako shughulika nacho mwenyewe.
Nimegundua wewe una vinasaba na China........kwenye rangi nyekundu...Unajua mitandao ya simu ilianza mwaka gani hapa Tanzania?
 
Nimegundua wewe una vinasaba na China........kwenye rangi nyekundu...Unajua mitandao ya simu ilianza mwaka gani hapa Tanzania?
Bro hivi unajua kusoma!??
Smartfone/smartphone simu janja ni sawa na mitandao ya simu!??
Embu soma kwa uelewa ndio uanze kujadili.
 
Wewe umefanya nini potential bila mzungu....pesa huna kila siku kukopa......mpaka matundu ya choo.."Kwa msaada wa watu wa Marekani.. 😀
Naona umekurupukia mada ambayo huna uelewa nayo.
Halafu pia hujui kusoma kwa uelewa.
Mimi nazungumzia msaada wa maana baina ya Westerners na China.
Nani kati yao amefanya kitu potential kwetu.
Bro hivi hata la 7 ulifaulu wewe!??
 
Kwa hiyo umekubali huna uwezo.......mpaka unaenda China.:FeelsDance:
Unaelewa nini ukiambiwa kitu diplomasia ama geopolitics!??
Kuna nchi yenye uwezo na kila kitu!?
Hata hao wazungu wanafuatana ili washirikiane kwenye masuala mbali mbali.

Pia embu kaa uelewe kinajadiliwa nini.
Nakusisitiza mjadala ni msaada wenye manufaa baina ya Westerners na China kwa Tanzania.
Soma kwa kuelewa kijana.
 
Hii ndiyo elimu ya kukaririshwa shuleni ktk shule zetu...

Kama ndiyo hivyo, si kauchume mwenyewe huo mchicha ili ukauze 500 na ubaki nazo zote...???

Na kama huwezi kuuchuma mwenyewe, unategemea uchumiwe na mtu mwingine kwanini unamdharau huyo mtu anayekusaidia kwa wakati huo...?

Kama ndiyo tabia yako ya kutukana na kudharau waliokusaidia ulipokuwa hujiwezi, basi subiri mpaka akili yako itakapokuwezesha kujiweza kujichumia huo mchicha mwenyewe kisha warudie na watukane....

Otherwise unapotukana wakunga huku uzazi ungalipo, wewe huna akili na huna maarifa wala ufahamu. Na huyu ndiye Rais wenu Samia Suluhu Hassan....!!

Msaidieni kumwambia ukweli. Acheni ujinga wa kujidanganya hivi....!!
Sovereignty ya nchi husika inatakiwa iheshimiwe.
Embu wacha fikra za kitumwa kijana.
Kupewa msaada haimaanishi umpelekeshe mtu unavyotaka.

Halafu wewe ndio inaonekana ndio wale watu wakisaidia mtu wanataka wa take advantage waabudiwe.
 
Kuna sababu kwanini inaitwa Mitego, mikataba mingine ipo kabla ya hao viongozi hawajazaliwa, inabidi uwe smart vibaya mno kuiepuka.
Vipi ambayo sio ya zamani?
Na tinawait wasomi,wanasheria
Watu wanaowaza 10 % kwanza.....
 
Back
Top Bottom