Huu ni mwaka wa kusafiri sana kuifaidi dunia

Mwaka 2020 au 2022?mkuu kuwa makini basi na safari zako
 
we jamaa acha utani na vitu serious basi, hiyo laki 5 si nakulipa sasa hivi uniongeze kwenye list..
 
Hii ni yetu sote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
gharama ya tiketi ya ndege sh ngapi?
 
Kwamba nikiweka laki tano mezani mm nafika, nalala,nakula na kurudi kwa laki tano ?

Yes, ukiweka kiasi tajwa unapokelewa Airport (bure), unapelekwa hoteli ya nyota 3 (bure), unaanza tours zote kesho yake na siku zinazofuata (bure), viingilio na watakaokuzungusha (bure), chakula cha mchana huko kwenye tours (bure).

Kwa ufupi gharama za Hoteli, Usafiri kutoka Airport na Tours zote ni BURE baada ya kulipia hicho kiasi cha package.

Gharama PEKEE zitakazokuhusu ni Tiketi ya Ndege, Vipimo vya Uviko na Visa tu!
 
JUMLA YA GHARAMA ZOTE NI TZS NGAPI AU DOLLAR NGAPI
 
Mbona Tangazo halina mawasiliano? Wala address ya kampuni, wala jina la kampuni. Hebu kuweni serious asee
 

Jamaa anazidiwa hadi na wapitisha michicha ambao hupayuka bei la fungu jero, ukinunua mafungu 3 kwa buku...

Plus majira haya ya sasa kuna Covid-19, angeambatanisha na vipeperushi nchi gani ina masharti yapi japo kwa uchache, maana kuna watu hawataki kichanjwa na wapo wanaopenda safiri hawana shida kuchanjwa...
 
Si unaona sasa umeanza kufunguka taratibu. nyie ni matepeli kwa kuwa hamuweki taarifa wazi mpaka mbanwe banwe
 
kuweni makini. binafsi sioni reality yoyote kwenye hilo tangazo.

Ni kweli mkuu. Umakini ni muhimu sana. Ndiyo maana hatutachukua pesa ya mtu yeyote mpaka atakapojiridhisha na kuthibitisha. Na hili ombwe la taarifa ndio sababu tukaja kutoa elimu. Unamaanisha nini kusema huoni reality yoyote?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…