Hapa ndiyo umeeleweka, tofauti na Blablaa ulizokuwa unatupigia!!Yes, ukiweka kiasi tajwa unapokelewa Airport (bure), unapelekwa hoteli ya nyota 3 (bure), unaanza tours zote kesho yake na siku zinazofuata (bure), viingilio na watakaokuzungusha (bure), chakula cha mchana huko kwenye tours (bure....
Si unaona sasa umeanza kufunguka taratibu. nyie ni matepeli kwa kuwa hamuweki taarifa wazi mpaka mbanwe banwe
Ninapepwa maeneo ya Itongo hapa LamadiMwaka 2022 unagawanyika kwa mbili. Ni mwaka mzuri. Usikubali ukaishi maisha ya dhiki na kutofurahia maisha. Unafanya kazi ili iweje kama huwezi kutenga siku kadhaa za kufurahia maisha...
hii gharama uliificha, mwishowe ukaifichuaGharama PEKEE zitakazokuhusu ni Tiketi ya Ndege, Vipimo vya Uviko na Visa tu!
yaani nilipie milioni 6+ kwaajili ya nauli halafu nishindwe kulipia laki 5 ya kuzurura nianze kuwatafuta hawa jamaa hiyo itakuwa akili au kaili..Duh changamoto ni gharama ya tiketi ya ndege, nimecheki Qatar airways mpaka Istanbul ni dola 1500 hivi, jumla na return ticket ni kama dola 3000 hivi, hivyo sio poa cha msingi tutafute nauli tu wakuu, ila kuzurura huko ulaya sio ghali
Duh changamoto ni gharama ya tiketi ya ndege, nimecheki Qatar airways mpaka Istanbul ni dola 1500 hivi, jumla na return ticket ni kama dola 3000 hivi, hivyo sio poa cha msingi tutafute nauli tu wakuu, ila kuzurura huko ulaya sio ghali
Haijui jf huyu 😂😂😂vyote hivi hapa ulivyosema havitakamilika bila KIBUNDA mzee baba
Gharama za usafiri kutoka Tanzania hadi Uturuki kwenda na kurudi ni kwa dola hizo 230 jumulisha malazi na sehemu za utalii ama inakuwaje?Asanteni WanaJF kwa utayari. Pia maoni na mapendekezo kuwa tuweke packages tulizonazo msimu huu, japo lengo letu lilikuwa kuambizana tu na haikuwa na ulazima msafiri kupitia huduma zetu. Ni heshima kubwa mmetupatia...
Mkuu hebu tusaidie mchanganuo $230 nauli kwenda na kurudi bei gani? Siku 4/5 kwa siku bei gani?Kiukweli tatizo sio kibunda bali ni taarifa mkuu Joseverest. Watanzania wengi hawajui kuwa baadhi ya safari za kutalii nje ya nchi ni cheap zaidi kuliko hata za hapa ndani.
Mfano katika Msimu huu zipo packages za kwenda Uturuki na gharama inaanzia laki 5 tu ($230) kwa siku 4 hadi 5. Utashindwaje hapo?
Nina maswali kadhaa;Asanteni WanaJF kwa utayari. Pia maoni na mapendekezo kuwa tuweke packages tulizonazo msimu huu, japo lengo letu lilikuwa kuambizana tu na haikuwa na ulazima msafiri kupitia huduma zetu. Ni heshima kubwa mmetupatia....
Gharama za usafiri kutoka Tanzania hadi Uturuki kwenda na kurudi ni kwa dola hizo 230 jumulisha malazi na sehemu za utalii ama inakuwaje?
Mbona napata wasiwasi?
Mkuu hebu tusaidie mchanganuo $230 nauli kwenda na kurudi bei gani? Siku 4/5 kwa siku bei gani?
Gharama za usafiri kutoka Tanzania hadi Uturuki kwenda na kurudi ni kwa dola hizo 230 jumulisha malazi na sehemu za utalii ama inakuwaje?
Mbona napata wasiwasi?
Tunaelewa huu mtazamo, wengi wako nao lakini kiuhalisia gharama za kusafiri kwa baadhi ya nchi ni nafuu sana. Ushajiuliza kwanini siku hizi warembo wengi waTanzania wanaruka sana kwenda Uturuki kwa masuala yao ya urembo? Ni nafuu.
Packages zetu tunazipandisha muda wowote kutoka sasa. Baki nasi.
Nina maswali kadhaa;
1.Je hii ni tour ya siku 5?na katika hizo siku tano kuna siku 1 ya safari ya kwenda(kama ni safari ya siku 1) na moja ya kurudi?maana yake kuna siku mbili zimetoka zinabaki 3 za kutalii Instanbul?naomba ufafanue.
2.Umesema mtu atalala siku 4 kwenye hoteli ya nyota tatu na kushinda siku moja hotelini ,fafanua unamaanisha nini?
3.Hiyo siku moja ya kushinda hotelini chakula cha mchana na jioni nani analipia(maana umesema kifungua kinywa ni bure siku ya( 2-5)?
4.Siku ya kwanza na ya pili kutalii umesema chakula cha mchana tutapatiwa,Je chakula cha jioni nani analipia?
5.Kama jibu la namba 3 anayelipia chakula ni mtalii mwenyewe,tupe bei ya chakula kwenye hio hoteli ya Nyota 3.(Jibu hili pia linahusiana na swali la 4)
5.Vipi akitokea mtu akapata dharura kama ya kuugua akiwa ugenini mnamsaidije au kuna utaratibu gani?
Naomba ujibu kwa namba.
Ahsante.
Tueleweshe maana ya bei KUANZIA $230 na subject to availability. 😎Swali zuri lakini limejirudia. Pitia tena first post tumefafanua vizuri.
Mambo yawe wazi isijekuwa kama ya yule mdau aliyelipia kwenda kutalii kalipia kila kitu mwisho wa siku simu hazipatikani,uaminifu umekua mdogo Kweli Kwenye haya mambo ya online