Uliweka kitaalam sana 😀😀😀Yes, ukiweka kiasi tajwa unapokelewa Airport (bure), unapelekwa hoteli ya nyota 3 (bure), unaanza tours zote kesho yake na siku zinazofuata (bure), viingilio na watakaokuzungusha (bure), chakula cha mchana huko kwenye tours (bure).
Kwa ufupi gharama za Hoteli, Usafiri kutoka Airport na Tours zote ni BURE baada ya kulipia hicho kiasi cha package.
Gharama PEKEE zitakazokuhusu ni Tiketi ya Ndege, Vipimo vya Uviko na Visa tu!
Nauli ni bure?Kiukweli tatizo sio kibunda bali ni taarifa mkuu Joseverest. Watanzania wengi hawajui kuwa baadhi ya safari za kutalii nje ya nchi ni cheap zaidi kuliko hata za hapa ndani.
Mfano katika Msimu huu zipo packages za kwenda Uturuki na gharama inaanzia laki 5 tu ($230) kwa siku 4 hadi 5. Utashindwaje hapo?
mkuu una hofu.usikute md wala staff wa hi kampuni hajawahi kutalii popoteTUNATAKA VITENDO ZAIDI DHIDI YA MANENO
Hawa watu ni wa ajabu sana.
Ndio maana wananchi wa nchi hii wataendelea kuburuzwa milele. Mijitu iko so negative
Inakera sana
Oh yeah. Enjoy your time.Nipo Congo Brazaville nabarizi, ni short holiday ya mwanzo wa mwaka na tutafanya nyengine kabla ya July in shaa Allah.
Maisha ndio haya haya bestyyyy
Have you been to Turkey besty?Oh yeah. Enjoy your time.
Kiongozi hapo juu umemlaumu mdau kwa kutumia lugha isiyo ya kistaarabu.Hapa wewe unaita binadamu wenzio "mijitu" nilidhani wewe unayekosoa watumia lugha isiyioya kistaarabu,utakuwa mfano lakini naona kama sivyo.Hawa watu ni wa ajabu sana.
Ndio maana wananchi wa nchi hii wataendelea kuburuzwa milele. Mijitu iko so negative
Inakera sana
ApologisingKiongozi hapo juu umemlaumu mdau kwa kutumia lugha isiyo ya kistaarabu.Hapa wewe unaita binadamu wenzio "mijitu" nilidhani wewe unayekosoa watumia lugha isiyioya kistaarabu,utakuwa mfano lakini naona kama sivyo.
Pamoja kiongoziApologising
nimeingia kwenye tovuti yao na kucheki bei, unaweza fanya hivyo pia.Mkuu hii ni bei kubwa sana and I doubt it
hiyo elimu ningependekeza uiweke wazi wadau wote tuone, haya mambo ya ''tucheki DM/PM/INBOX'' yanatia mashaka
Kama ni kampuni halali na iliyosajiliwa na mko verified hapa JF sioni sababu ya kuwa na maneno meeengi bali tunataka tuone hizo habari nzuri.. It is like mnabishana na mteja kwa kitu ambacho ni cha kwenda straight to the point, Mawasiliano yakiwa wazi mtu ndio anakuwa wazi kuja inbox, ofisini au asije. Wengine tuna hisia mbaya tunavyoambiwa njoo inbox kwa ajili ya kuogopa ''upigwaji''
Jamaa atakuwa tapeli, subirihiyo elimu ningependekeza uiweke wazi wadau wote tuone, haya mambo ya ''tucheki DM/PM/INBOX'' yanatia mashaka
Kama ni kampuni halali na iliyosajiliwa na mko verified hapa JF sioni sababu ya kuwa na maneno meeengi bali tunataka tuone hizo habari nzuri.. It is like mnabishana na mteja kwa kitu ambacho ni cha kwenda straight to the point, Mawasiliano yakiwa wazi mtu ndio anakuwa wazi kuja inbox, ofisini au asije. Wengine tuna hisia mbaya tunavyoambiwa njoo inbox kwa ajili ya kuogopa ''upigwaji''
hahahah noma sana mkuuyaani nilipie milioni 6+ kwaajili ya nauli halafu nishindwe kulipia laki 5 ya kuzurura nianze kuwatafuta hawa jamaa hiyo itakuwa akili au kaili..
Jamaa atakuwa tapeli, subiri
Not yet. Planning to on my birthday.Have you been to Turkey besty?
I think is better. Greece you will enjoy in Santorini only. I don't know may be in Athens as well but with all Corona issues go to Turkey bestyyyyNot yet. Planning to on my birthday.
Turkey or Greece.
Good advice! She should use our Turkey Package, and we will surely treat her with distinguished hospitality!I think is better. Greece you will enjoy in Santorini only. I don't know may be in Athens as well but with all Corona issues go to Turkey bestyyyy
Acha ujuaji, awaambie ukweli kwamba utalipa nauli kiasi kadhaa na hiyo laki 5 ndiyo kwa ajili ya matembezi n.k huko aendako.Hawa watu ni wa ajabu sana.
Ndio maana wananchi wa nchi hii wataendelea kuburuzwa milele. Mijitu iko so negative
Inakera sana
I will consider your recommendations.I think is better. Greece you will enjoy in Santorini only. I don't know may be in Athens as well but with all Corona issues go to Turkey bestyyyy
Fine,Good advice! She should use our Turkey Package, and we will surely treat her with distinguished hospitality!
Ametangaza bandiko lake vizuri kwamba service yake inafanyika ndani ya Istanbul. Utafikaje huko?? That's none of his/her businessAcha ujuaji, awaambie ukweli kwamba utalipa nauli kiasi kadhaa na hiyo laki 5 ndiyo kwa ajili ya matembezi n.k huko aendako.