MurburgMonkeypox 😬😔
Naona wanajaribu kuicontain isisambae.
Nadhani hiyo ni wazi ni Monkey Pox. Ndio video za watu wenye huo ugonjwa sehemu mbali mbali huku afrika wanakuwa hivyo.Wakuu,
Kuna hii video inasambaa kwenye mitandao ya kijamii, huyo jamaa anasema wako katika hospitali maeneo ya kipawa majani ya chai.
Ambako yeye na wengine wanaumwa ugonjwa kama huo wametengwa, hawaruhusiwi kuonana na watu.
Kuna ka ujumbe kanapita kanasema tuache kupeana mikono hovyo, maana hujui nani ako nao.
Wizara ya Afya Tanzania huu ni ugonjwa gani?
View attachment 3264801
Ndugu yangu nawe kachekiHuku mtaani kwetu kuna shoga aliumwa huu ugonjwa, madaktari walikuja kumchukua wamejifunika mwili mzima na walipulizia nyumba yake dawa.
Hataki 🤔ephen_ nakupa hi
Monkey pox hyoMurburg
Ngoja nimpgieHataki 🤔
Walifanya research na kugundua hamna ugonjwa huo, walirudi ikulu na vyombo vya habari vilirusha, jamaa alisema hamna ugonjwa husika.Mtindo wa kuficha ni ule ule kwa serikali yetu, ni kama walivyoficha kwenye Marburg Virus (Ebola fulani hivi) kule Kagera mpaka tukasikia kichini chini kuwa mkurugenzi mkuu wa WHO akaamua kutua mwenyewe hapa nchini ili kumwambia Rais hicho kinachofichwa ni hatari kwa dunia, sasa ili kuzuga na kufunika kombe ikabidi Rais ajifanye hana taarifa rasmi na hapo hapo akamfukuza Mganga mkuu wa serikali na kuteua katibu mkuu mpya wa wizara ya Afya na akatoa hotuba rasmi ya kutangaza uwepo wa Marburg hapa.
Serikali iseme tu sasa kuwa kuna Monkeypox yakutosha ili hatua madhubuti zichukulie.
Na kwa jinsi kina dada mnakuaga na urafiki na hao watu, na wewe ukapime mkuuHuku mtaani kwetu kuna shoga aliumwa huu ugonjwa, madaktari walikuja kumchukua wamejifunika mwili mzima na walipulizia nyumba yake dawa.
Anatia huruma kweli jamani 😔Wakuu,
Kuna hii video inasambaa kwenye mitandao ya kijamii, huyo jamaa anasema wako katika hospitali maeneo ya kipawa majani ya chai.
Ambako yeye na wengine wanaumwa ugonjwa kama huo wametengwa, hawaruhusiwi kuonana na watu.
Kuna ka ujumbe kanapita kanasema tuache kupeana mikono hovyo, maana hujui nani ako nao.
Wizara ya Afya Tanzania huu ni ugonjwa gani?
View attachment 3264801
Mpox hio kaa mbali sawa Binti?Huku mtaani kwetu kuna shoga aliumwa huu ugonjwa, madaktari walikuja kumchukua wamejifunika mwili mzima na walipulizia nyumba yake dawa.
Mtindo wa kuficha ni ule ule kwa serikali yetu, ni kama walivyoficha kwenye Marburg Virus (Ebola fulani hivi) kule Kagera mpaka tukasikia kichini chini kuwa mkurugenzi mkuu wa WHO akaamua kutua mwenyewe hapa nchini ili kumwambia Rais hicho kinachofichwa ni hatari kwa dunia, sasa ili kuzuga na kufunika kombe ikabidi Rais ajifanye hana taarifa rasmi na hapo hapo akamfukuza Mganga mkuu wa serikali na kuteua katibu mkuu mpya wa wizara ya Afya na akatoa hotuba rasmi ya kutangaza uwepo wa Marburg hapa.
Serikali iseme tu sasa kuwa kuna Monkeypox yakutosha ili hatua madhubuti zichukulie.