DOKEZO Huu ni ugonjwa gani? Wizara ya Afya semeni kitu

DOKEZO Huu ni ugonjwa gani? Wizara ya Afya semeni kitu

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Walifanya research na kugundua hamna ugonjwa huo, walirudi ikulu na vyombo vya habari vilirusha, jamaa alisema hamna ugonjwa husika.
Second. Nyie mnaosema huu ugo hwa unafichwa upo, ni wangapi, mmeshuhudia marburg maeneo yenu au watu kuchukuliwa.
Hata huyu story yake ni kwamba alifika hospitali akapewa kitanda sehemu ya kivyake na wagonjwa wengine na tunawaona hapo, na pia wagonjwa hao unaweza kuwaona ila kupitia dirishani, my people mbona mnapenda sana story muonekane mnajua.
Mbona jamaa hajaonyesha kujua wala kupotosha popote

Wewe ndo umeleta ujuaji wa kunifanya unajua kila kitu
 
Wakuu,

Kuna hii video inasambaa kwenye mitandao ya kijamii, huyo jamaa anasema wako katika hospitali maeneo ya kipawa majani ya chai.

Ambako yeye na wengine wanaumwa ugonjwa kama huo wametengwa, hawaruhusiwi kuonana na watu.

Kuna ka ujumbe kanapita kanasema tuache kupeana mikono hovyo, maana hujui nani ako nao.

Wizara ya Afya Tanzania huu ni ugonjwa gani?

View attachment 3264801
Serikali kupitia Wizara ya Afya inapaswa ijitokeze mapema na kulitolea Ufafanuzi wa kina kabisa kuhusiana na suala hili
Wasikae kimya.
 
Wakuu,

Kuna hii video inasambaa kwenye mitandao ya kijamii, huyo jamaa anasema wako katika hospitali maeneo ya kipawa majani ya chai.

Ambako yeye na wengine wanaumwa ugonjwa kama huo wametengwa, hawaruhusiwi kuonana na watu.

Kuna ka ujumbe kanapita kanasema tuache kupeana mikono hovyo, maana hujui nani ako nao.

Wizara ya Afya Tanzania huu ni ugonjwa gani?

View attachment 3264801
Kipawa ya Dar hii, maana yake mzigo Uko Mjini tayari

Twende kazi sasa
 
Back
Top Bottom