Shing Yui
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 15,168
- 38,049
Mtaa gani tuepuke kuja hukoHuku mtaani kwetu kuna shoga aliumwa huu ugonjwa, madaktari walikuja kumchukua wamejifunika mwili mzima na walipulizia nyumba yake dawa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtaa gani tuepuke kuja hukoHuku mtaani kwetu kuna shoga aliumwa huu ugonjwa, madaktari walikuja kumchukua wamejifunika mwili mzima na walipulizia nyumba yake dawa.
Tabata Nairobi.Mtaa gani tuepuke kuja huko
PoapoaTabata Nairobi
Wana penda utani sanaMtindo wa kuficha ni ule ule kwa serikali yetu, ni kama walivyoficha kwenye Marburg Virus (Ebola fulani hivi) kule Kagera mpaka tukasikia kichini chini kuwa mkurugenzi mkuu wa WHO akaamua kutua mwenyewe hapa nchini ili kumwambia Rais hicho kinachofichwa ni hatari kwa dunia, sasa ili kuzuga na kufunika kombe ikabidi Rais ajifanye hana taarifa rasmi na hapo hapo akamfukuza Mganga mkuu wa serikali na kuteua katibu mkuu mpya wa wizara ya Afya na akatoa hotuba rasmi ya kutangaza uwepo wa Marburg hapa.
Serikali iseme tu sasa kuwa kuna Monkeypox yakutosha ili hatua madhubuti zichukulie.
Cha muhimu watu wachukue tahadhari. Kusubiri matamko ya Serikali yatakukuta umeshachelewa.