Dah! Na mimi nimeegemea kwenye utaniIt was meant to be a joke kwa vile umeandika shoga. Ila kama imekukera nisamehe mama. Sio ushindani
Yeah, possible.
Mpox nHapana Surua ni tofauti yapi visababishi ni Moja yaani Virus, na hata signs zinafanana TU, But Mpox ni ugonjwa mpya kama COVID, sijui kwanini haya magonjwa mapya dalili zinafanana na magonjwa ya chanjo na ya zamani... inawezekana Kuna secret agenda behind??Yeah, possible.
Mpox ndio surua?
Upo Tanzania?Walifanya research na kugundua hamna ugonjwa huo, walirudi ikulu na vyombo vya habari vilirusha, jamaa alisema hamna ugonjwa husika.
Second. Nyie mnaosema huu ugo hwa unafichwa upo, ni wangapi, mmeshuhudia marburg maeneo yenu au watu kuchukuliwa.
Hata huyu story yake ni kwamba alifika hospitali akapewa kitanda sehemu ya kivyake na wagonjwa wengine na tunawaona hapo, na pia wagonjwa hao unaweza kuwaona ila kupitia dirishani, my people mbona mnapenda sana story muonekane mnajua.
Hakuna baya mpendwa, ni amani tu😊😊Dah! Na mimi nimeegemea kwenye utani
Labda ningeeka emoj ya kucheka ingekua poa.
Naomba unisamehe.
Mwaka 2023 ndio kulikua na visa kadhaa na vifo pia hapo kagera. Ila mwaka jana ndio naongelea kwamba hakukuwa na visa hivo lakini story ilikuja juu.Upo Tanzania?
Unataka kusema Rais Samia alidanganya kwa kutangaza rasmi akiwa Ikulu kuhusu kupatikana kwa wagonjwa wa Marburg hapa Tanzania?
Upo Kagera?
Njoo Kagera tukuonyeshe makaburi ya watu waliokufa kwa Marburg na kuzikwa kistyle zile za kiserikali-afya.
Upande wa pili, inakuwaje kusiwe na Marburg kule Kagera halafu zaidi ya wataalamu 100 wa magonjwa ya mlipuko kutoka wizara ya afya watie kambi kule Kagera zaidi ya mwezi mzima sasa, wakifanya kazi za afya huku wakiwa na vifaa vyote kinga dhidi ya Marburg, kutoa elimu ya kujikinga na kuweka matangazo ya kupambana na Marburg mkoa mzima.
Yote kwa yote hao kwenye video ni wagonjwa Mpox hapo Dar, watu wengi wanajua hilo na hata ndugu zao wameshaelezwa kimya kimya, ni video imetrend mitandaoni mapema sana, na wala hakuna ubishi kila kitu kinafanana na video zingine za wagonjwa wa Mpox hapa Afrika. Hakuna cha ajabu wala kuficha, iko wazi mnoo.
Ya NyaniTetekuwanga.
Hii ni ile monkey pox ya kule DRC mkuu. Kaa mbali usije ukaambukizwa.Wakuu,
Kuna hii video inasambaa kwenye mitandao ya kijamii, huyo jamaa anasema wako katika hospitali maeneo ya kipawa majani ya chai.
Ambako yeye na wengine wanaumwa ugonjwa kama huo wametengwa, hawaruhusiwi kuonana na watu.
Kuna ka ujumbe kanapita kanasema tuache kupeana mikono hovyo, maana hujui nani ako nao.
Wizara ya Afya Tanzania huu ni ugonjwa gani?