GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,685
- 128,178
Mlianza kuisapoti Portugal ya Pimbi Christiano Ronaldo ilipotolewa haraka sana mkahamia kwa England na Keane na walipotolewa haraka sana mkahamia kwa Haaland na Norway yale nao walipotolewa mkahamia kwa Mbape na France yake na bila ya Aibu kwa Chuki zenu binafsi kwa Argentina na Messi ghafla mmehamia kwa Spain ya Lamine Yamal.
Na mlivyo hamna Akili na katika muendelezo wenu ule ule wa Chuki hivi sasa mmebadili aina ya Chuki zenu na mmeanza Kukuza vita ya Ufungaji wa Magoli katika Kombe hili la Dunia kwakuwa tu mmeshaona Mbappe anaongoza ili hata kama Messi asipomfikia na Mbappe kuwa Mfungaji bora basi hili ndiyo liwe Kombe lenu rasmi la Dunia.
Sasa GENTAMYCINE mwenye Argentina yangu na Fundi Lionel Messi nawaambieni kuwa Mafanikio makubwa katika Kombe la Dunia ni kubeba Kombe na siyo kuwa Mfungaji bora. Ina maana gani kuwa Mfungaji bora halafu Timu yako hata Tatu bora tu ya Mashindano haipo?
Na leo kuonyesha kuwa muhimu Kwetu ni Ubingwa tumeshamwambia Messi kuwa acheza Kitimu kwa Kuibeba Timu kama alivyofanya Juzi alipocheza na Uingereza (England) na wala asijali kutaka Kufunga ili amfikie Mbappe kwani FIFA hawana Kombe na Mfungaji bora bali wala Kombe la Dunia ambalo ndilo lenye Heshima kubwa.
Nimemaliza.