Huu ni Ujumbe muhimu kwa wale ambao mnaichukia Argentina na Mwamba Lionel GENTAMYCINE Messi

Huu ni Ujumbe muhimu kwa wale ambao mnaichukia Argentina na Mwamba Lionel GENTAMYCINE Messi

Mlianza kuisapoti Portugal ya Pimbi Christiano Ronaldo ilipotolewa haraka sana mkahamia kwa England na Keane na walipotolewa haraka sana mkahamia kwa Haaland na Norway yale nao walipotolewa mkahamia kwa Mbape na France yake na bila ya Aibu kwa Chuki zenu binafsi kwa Argentina na Messi ghafla mmehamia kwa Spain ya Lamine Yamal.

Na mlivyo hamna Akili na katika muendelezo wenu ule ule wa Chuki hivi sasa mmebadili aina ya Chuki zenu na mmeanza Kukuza vita ya Ufungaji wa Magoli katika Kombe hili la Dunia kwakuwa tu mmeshaona Mbappe anaongoza ili hata kama Messi asipomfikia na Mbappe kuwa Mfungaji bora basi hili ndiyo liwe Kombe lenu rasmi la Dunia.

Sasa GENTAMYCINE mwenye Argentina yangu na Fundi Lionel Messi nawaambieni kuwa Mafanikio makubwa katika Kombe la Dunia ni kubeba Kombe na siyo kuwa Mfungaji bora. Ina maana gani kuwa Mfungaji bora halafu Timu yako hata Tatu bora tu ya Mashindano haipo?

Na leo kuonyesha kuwa muhimu Kwetu ni Ubingwa tumeshamwambia Messi kuwa acheza Kitimu kwa Kuibeba Timu kama alivyofanya Juzi alipocheza na Uingereza (England) na wala asijali kutaka Kufunga ili BVamfikie Mbappe kwani FIFA hawana Kombe na Mfungaji bora bali wala Kombe la Dunia ambalo ndilo lenye Heshima kubwa.

Nimemaliza.
MESSI a.k.a La Pulga a.k.a Kiroboto aligeuka kuwa mtazamaji mwenzetu uwanjani. Hakabi, hakimbii, hatafuti mipira. Yeye ni kwenda mwendo wa kobe tu, utadhani maendeeleo ya Tanzania chini ya utawala dhalimu wa CCM
 
753319971_1349154496673819_2254153870880772776_n.jpg
 
MESSI a.k.a La Pulga a.k.a Kiroboto aligeuka kuwa mtazamaji mwenzetu uwanjani. Hakabi, hakimbii, hatafuti mipira. Yeye ni kwenda mwendo wa kobe tu, utadhani maendeeleo ya Tanzania chini ya utawala dhalimu wa CCM
Dah! Halafu amekabwa na madogo tu,
Ukiangalia takwimu za kombe hili hakuna timu imedhalilishwa kama timu ya akina messi
 
Timu zangu zilikuwa nyingi tu .

Ila timu yeyote ya Ronaldo ni constant kushabikia , kwenye kuhama hama nako nilikuwepo France na England.

Yamal akichukua haina shida sababu hata Madrid nilikuwepo sababu ya Cr7 tu
Eti "dogo nembe"😁😁, kwanini umepatiwa jina baya hivyo
 
Back
Top Bottom