The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 39,582
- 123,152
Usipokua shabiki wa yule Mbuzi naleft JF.Mimi ni Spain. Sijaanza shabikia leo Spain, toka enzi za akina Xavi, Iniesta na Casilas. 😊

Usipokua shabiki wa yule Mbuzi naleft JF.
Mpira wa kuvutia ndio ukoje mkuu?Mimi siwezi shabikia timu haina mpira wa kuvutia mkuu, ikiwemo hiyo Argentina. 😊
Mpira wa kuvutia ndio ukoje mkuu?
Hivi hua kuna kombe linashindaniwa kwa team yenye mpira wa kuvutia?
Kwahiyo Argentina hana mpira wa kuvutia ila ndio bingwa mtetezi na anacheza fainali ya pili mfululizo sio?
Huyo mtu mmoja yeye sio mchezaji wa Argentina?Sasa Argentina wanategemea awezo wa mtu mmoja! Kila mechi Argentina inafungwa, hakuna mechi Argentina hajaruhusu goli la mapema!
Tiktak ni mchezo wa kuvutia, na ndio mchezo wa Spain, mchezo watu wanacheza kama timu, sio kusubiri mtu mmoja atumie uwezo wake kuokoa timu kama Argentina.
Umesahau walishabikia mpaka Cape Verde na Misiry 😂. Na bado wanasema Argentina amepita njia dhaifu, sijui wamerevew vizuri njia za Uingereza, Ufaransa, na Ureno mwenyewe!Mlianza kuisapoti Portugal ya Pimbi Christiano Ronaldo ilipotolewa haraka sana mkahamia kwa England na Keane na walipotolewa haraka sana mkahamia kwa Haaland na Norway yale nao walipotolewa mkahamia kwa Mbape na France yake na bila ya Aibu kwa Chuki zenu binafsi kwa Argentina na Messi ghafla mmehamia kwa Spain ya Lamine Yamal.
Na mlivyo hamna Akili na katika muendelezo wenu ule ule wa Chuki hivi sasa mmebadili aina ya Chuki zenu na mmeanza Kukuza vita ya Ufungaji wa Magoli katika Kombe hili la Dunia kwakuwa tu mmeshaona Mbappe anaongoza ili hata kama Messi asipomfikia na Mbappe kuwa Mfungaji bora basi hili ndiyo liwe Kombe lenu rasmi la Dunia.
Sasa GENTAMYCINE mwenye Argentina yangu na Fundi Lionel Messi nawaambieni kuwa Mafanikio makubwa katika Kombe la Dunia ni kubeba Kombe na siyo kuwa Mfungaji bora. Ina maana gani kuwa Mfungaji bora halafu Timu yako hata Tatu bora tu ya Mashindano haipo?
Na leo kuonyesha kuwa muhimu Kwetu ni Ubingwa tumeshamwambia Messi kuwa acheza Kitimu kwa Kuibeba Timu kama alivyofanya Juzi alipocheza na Uingereza (England) na wala asijali kutaka Kufunga ili amfikie Mbappe kwani FIFA hawana Kombe na Mfungaji bora bali wala Kombe la Dunia ambalo ndilo lenye Heshima kubwa.
Nimemaliza.
Argentina walishacheza huo mpira unaousemea bila mafanikio. Walifanya hivyo enzi za kina Di Maria, Mashchelano, Iguaini, Aguero na wengineo. Argentina ya wakati huo ilikuwa ya moto, ball safisafi lakini mafanikio pekee yalikuwa ni kufika tu fainali.Sasa Argentina wanategemea awezo wa mtu mmoja! Kila mechi Argentina inafungwa, hakuna mechi Argentina hajaruhusu goli la mapema!
Tiktak ni mchezo wa kuvutia, na ndio mchezo wa Spain, mchezo watu wanacheza kama timu, sio kusubiri mtu mmoja atumie uwezo wake kuokoa timu kama Argentina.
Ndio kombe lake hilo, bila kusahau mshindi wa 3 amechukua uingereza, goli 6 😄. Una golden boot umekosa mshindi wa tatu, faida yake nini 😀Mshambuliaji kukosa kiatu "Golden boot" inauma aisee! 😊
Golden boot ina ni kitu kikubwa kwa mshambuliaji wa kuvaa jezi namna 10.
Umenena kiutu uzima hapa.Mlianza kuisapoti Portugal ya Pimbi Christiano Ronaldo ilipotolewa haraka sana mkahamia kwa England na Keane na walipotolewa haraka sana mkahamia kwa Haaland na Norway yale nao walipotolewa mkahamia kwa Mbape na France yake na bila ya Aibu kwa Chuki zenu binafsi kwa Argentina na Messi ghafla mmehamia kwa Spain ya Lamine Yamal.
Na mlivyo hamna Akili na katika muendelezo wenu ule ule wa Chuki hivi sasa mmebadili aina ya Chuki zenu na mmeanza Kukuza vita ya Ufungaji wa Magoli katika Kombe hili la Dunia kwakuwa tu mmeshaona Mbappe anaongoza ili hata kama Messi asipomfikia na Mbappe kuwa Mfungaji bora basi hili ndiyo liwe Kombe lenu rasmi la Dunia.
Sasa GENTAMYCINE mwenye Argentina yangu na Fundi Lionel Messi nawaambieni kuwa Mafanikio makubwa katika Kombe la Dunia ni kubeba Kombe na siyo kuwa Mfungaji bora. Ina maana gani kuwa Mfungaji bora halafu Timu yako hata Tatu bora tu ya Mashindano haipo?
Na leo kuonyesha kuwa muhimu Kwetu ni Ubingwa tumeshamwambia Messi kuwa acheza Kitimu kwa Kuibeba Timu kama alivyofanya Juzi alipocheza na Uingereza (England) na wala asijali kutaka Kufunga ili amfikie Mbappe kwani FIFA hawana Kombe na Mfungaji bora bali wala Kombe la Dunia ambalo ndilo lenye Heshima kubwa.
Nimemaliza.
Eti GENTAMYCINE mwenye Argentina yangu 🤣🤣..... Nachoka Mimi!Mlianza kuisapoti Portugal ya Pimbi Christiano Ronaldo ilipotolewa haraka sana mkahamia kwa England na Keane na walipotolewa haraka sana mkahamia kwa Haaland na Norway yale nao walipotolewa mkahamia kwa Mbape na France yake na bila ya Aibu kwa Chuki zenu binafsi kwa Argentina na Messi ghafla mmehamia kwa Spain ya Lamine Yamal.
Na mlivyo hamna Akili na katika muendelezo wenu ule ule wa Chuki hivi sasa mmebadili aina ya Chuki zenu na mmeanza Kukuza vita ya Ufungaji wa Magoli katika Kombe hili la Dunia kwakuwa tu mmeshaona Mbappe anaongoza ili hata kama Messi asipomfikia na Mbappe kuwa Mfungaji bora basi hili ndiyo liwe Kombe lenu rasmi la Dunia.
Sasa GENTAMYCINE mwenye Argentina yangu na Fundi Lionel Messi nawaambieni kuwa Mafanikio makubwa katika Kombe la Dunia ni kubeba Kombe na siyo kuwa Mfungaji bora. Ina maana gani kuwa Mfungaji bora halafu Timu yako hata Tatu bora tu ya Mashindano haipo?
Na leo kuonyesha kuwa muhimu Kwetu ni Ubingwa tumeshamwambia Messi kuwa acheza Kitimu kwa Kuibeba Timu kama alivyofanya Juzi alipocheza na Uingereza (England) na wala asijali kutaka Kufunga ili amfikie Mbappe kwani FIFA hawana Kombe na Mfungaji bora bali wala Kombe la Dunia ambalo ndilo lenye Heshima kubwa.
Nimemaliza.
Vamos Argentina,
¡Mucha suerte para ganar la Copa del Mundo.
Mkuu ungenunua kabisa vidonge vya kupunguza maumivu,Spain anachukua! Msikimbie uzi. 😊
Mkuu ungenunua kabisa vidonge vya kupunguza maumivu,
Huu ni ushauri tu.
Msako wa Argentina unakuwaga mkali kweli kweli.Argentina walishacheza huo mpira unaousemea bila mafanikio. Walifanya hivyo enzi za kina Di Maria, Mashchelano, Iguaini, Aguero na wengineo. Argentina ya wakati huo ilikuwa ya moto, ball safisafi lakini mafanikio pekee yalikuwa ni kufika tu fainali.
Alivyokuja mwamba Scalon hataki mambo mengi ni pira mkakati, kikubwa final results. Kuruhusu magoli ni ishu ya kawaida, Klop anakwambiaa nifunge tatu nikufunge nne ~ nachukua ushindi. By the way Argentina nao wanacheza mpira bwana, kuruhusu goli haimaanishi hawauchezi.
Ni familia piaSpain anachukua! Msikimbie uzi. 😊
Naona mchambuzi wa TBC, Chisano anaipondea Argentina kwa nguvu zote 😂😂Msako wa Argentina unakuwaga mkali kweli kweli.