GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,685
- 128,178
Leo namshabikia Spain na Yamal aibu mtaone nyinyiMlianza kuisapoti Portugal ya Pimbi Christiano Ronaldo ilipotolewa haraka sana mkahamia kwa England na Keane na walipotolewa haraka sana mkahamia kwa Haaland na Norway yale nao walipotolewa mkahamia kwa Mbape na France yake na bila ya Aibu kwa Chuki zenu binafsi kwa Argentina na Messi ghafla mmehamia kwa Spain ya Lamine Yamal.
Na mlivyo hamna Akili na katika muendelezo wenu ule ule wa Chuki hivi sasa mmebadili aina ya Chuki zenu na mmeanza Kukuza vita ya Ufungaji wa Magoli katika Kombe hili la Dunia kwakuwa tu mmeshaona Mbappe anaongoza ili hata kama Messi asipomfikia na Mbappe kuwa Mfungaji bora basi hili ndiyo liwe Kombe lenu rasmi la Dunia.
Sasa GENTAMYCINE mwenye Argentina yangu na Fundi Lionel Messi nawaambieni kuwa Mafanikio makubwa katika Kombe la Dunia ni kubeba Kombe na siyo kuwa Mfungaji bora. Ina maana gani kuwa Mfungaji bora halafu Timu yako hata Tatu bora tu ya Mashindano haipo?
Na leo kuonyesha kuwa muhimu Kwetu ni Ubingwa tumeshamwambia Messi kuwa acheza Kitimu kwa Kuibeba Timu kama alivyofanya Juzi alipocheza na Uingereza (England) na wala asijali kutaka Kufunga ili amfikie Mbappe kwani FIFA hawana Kombe na Mfungaji bora bali wala Kombe la Dunia ambalo ndilo lenye Heshima kubwa.
Nimemaliza.
Hii nafasi ya mshindi wa 3 kwenye WC haina maana,FIFA wangeifuta tu,Mshambuliaji kukosa kiatu "Golden boot" inauma aisee! π
Golden boot ina ni kitu kikubwa kwa mshambuliaji wa kuvaa jezi namna 10.
Umetokea team gani mkuu?Leo namshabikia Spain na Yamal aibu mtaone nyinyi
Hii nafasi ya mshindi wa 3 kwenye WC haina maana,FIFA wangeifuta tu,
Mechi moja magoli 10 unafikiri ni jambo la kawaida hapo mkuu? kuna namna tu imefanyika.
Naona hukunielewa.Shida sio nafasi; shida ni nani ana magoli mengi! Goli 10 anazo Mbappe so far. World Cup mbili mfululizo anachukua kiatu hicho.
Tuheshmiane Master.Goti mwitu
Timu zangu zilikuwa nyingi tu .Umetokea team gani mkuu?
Au ndio wale team kuhama hama FC kutoka Madeira Portugal?
ππ
Leo namshabikia Spain na Yamal aibu mtaone nyinyi
Nilijua tu utakua shabiki wa yule Mbuzi,Timu zangu zilikuwa nyingi tu .
Ila timu yeyote ya Ronaldo ni constant kushabikia , kwenye kuhama hama nako nilikuwepo France na England.
Yamal akichukua haina shida sababu hata Madrid nilikuwepo sababu ya Cr7 tu
Hii nafasi ya mshindi wa 3 kwenye WC haina maana,FIFA wangeifuta tu,
Mechi moja magoli 10 unafikiri ni jambo la kawaida hapo mkuu? kuna namna tu imefanyika.
Wishful result.Spain anawapiga Argentina mchana kweupe. Unai Simon anachukua golden glove.
Naona hukunielewa.
Bila shaka na wewe ni raia wa Portugal kwa Cr3
π