Huu ni Ujumbe muhimu kwa wale ambao mnaichukia Argentina na Mwamba Lionel GENTAMYCINE Messi

Mimi siwezi shabikia timu haina mpira wa kuvutia mkuu, ikiwemo hiyo Argentina. 😊
Mpira wa kuvutia ndio ukoje mkuu?

Hivi hua kuna kombe linashindaniwa kwa team yenye mpira wa kuvutia?

Kwahiyo Argentina hana mpira wa kuvutia ila ndio bingwa mtetezi na anacheza fainali ya pili mfululizo sio?
 
Mpira wa kuvutia ndio ukoje mkuu?

Hivi hua kuna kombe linashindaniwa kwa team yenye mpira wa kuvutia?

Kwahiyo Argentina hana mpira wa kuvutia ila ndio bingwa mtetezi na anacheza fainali ya pili mfululizo sio?

Sasa Argentina wanategemea awezo wa mtu mmoja! Kila mechi Argentina inafungwa, hakuna mechi Argentina hajaruhusu goli la mapema!
Tiktak ni mchezo wa kuvutia, na ndio mchezo wa Spain, mchezo watu wanacheza kama timu, sio kusubiri mtu mmoja atumie uwezo wake kuokoa timu kama Argentina.
 
Huyo mtu mmoja yeye sio mchezaji wa Argentina?

Kila team ina tactics zake,

Hao Portugal wasiotegemea mtu mmoja waliishia wapi?
 
Umesahau walishabikia mpaka Cape Verde na Misiry πŸ˜‚. Na bado wanasema Argentina amepita njia dhaifu, sijui wamerevew vizuri njia za Uingereza, Ufaransa, na Ureno mwenyewe!
 
Argentina walishacheza huo mpira unaousemea bila mafanikio. Walifanya hivyo enzi za kina Di Maria, Mashchelano, Iguaini, Aguero na wengineo. Argentina ya wakati huo ilikuwa ya moto, ball safisafi lakini mafanikio pekee yalikuwa ni kufika tu fainali.

Alivyokuja mwamba Scalon hataki mambo mengi ni pira mkakati, kikubwa final results. Kuruhusu magoli ni ishu ya kawaida, Klop anakwambiaa nifunge tatu nikufunge nne ~ nachukua ushindi. By the way Argentina nao wanacheza mpira bwana, kuruhusu goli haimaanishi hawauchezi.
 
Mshambuliaji kukosa kiatu "Golden boot" inauma aisee! 😊
Golden boot ina ni kitu kikubwa kwa mshambuliaji wa kuvaa jezi namna 10.
Ndio kombe lake hilo, bila kusahau mshindi wa 3 amechukua uingereza, goli 6 πŸ˜„. Una golden boot umekosa mshindi wa tatu, faida yake nini πŸ˜€
 
Umenena kiutu uzima hapa.
 
Eti GENTAMYCINE mwenye Argentina yangu 🀣🀣..... Nachoka Mimi!
 
Messi asingezaliwa tungedanganywa sana Ronaldo anajua mpira.
 
Msako wa Argentina unakuwaga mkali kweli kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…