Huu ni upotoshaji mkubwa sana kuhusu kitimoto

Kumbe!! basi ndio maana mtume hakuona aibu ya kuoa mtoto wa miaka 9
Usifananishe watu wa,mashariki ya kati na Afrika,tunaokula ugali na chumvi.Mashariki ya kati ni nyama na maziwa,ndio ukaona mama ake Yesu,alimzaa Yesu ana miaka 13,jiulize,alikuwa,na Yosef(96),walioana mama wa,Yesu,akiwa ni miaka mingapi,kama sio 9.
 
Huyu Sheikh aache mara moja kulisha watu matangopori kuhusu huyu mnyama.
View attachment 3274489
Unaumia nini?Amekushikia bunduki usile?Wewe kula tu,uwafaidishe wafugaji na wauzaji wa hiyo nyama.Mbona baniani hawali ng'ombe,na hakuna wanaowapigia kelele.IKO dini,hawali ngamia,hakuna wanaowapigia kelele.Tumia akili,ya Ngoswe,mwachie ngoswe mwenyewe
 
Usifananishe watu wa,mashariki ya kati na Afrika,tunaokula ugali na chumvi.Mashariki ya kati ni nyama na maziwa,ndio ukaona mama ake Yesu,alimzaa Yesu ana miaka 13,jiulize,alikuwa,na Yosef(96),walioana mama wa,Yesu,akiwa ni miaka mingapi,kama sio 9.
weee
 
Twala binadam Alaa kumbe
 
Huyu Sheikh aache mara moja kulisha watu matangopori kuhusu huyu mnyama.
View attachment 3274489
Kwanza huyu cjui shekhe cjui nani πŸ‘† πŸ‘† keleeele nyingi; anahusika vipi na huyu Mnyama wetu tumpendaye?
Si akajilie tende na nyama ya ngamia na atuachie tuendelee na starehe yetu? eti enzymes ni chembe asili. Madrasa gani inafundisha tena biology???
 
Kumbe dawa ya kufanya mtu asione aibu ipo na hamsemi? haya wale mnashindwa kufanya presentation mbele ya watu mtapiga hiyo dozi mara tatu kwa kutwa, hakikisheni kuna ndizi pembeni, ukiwa na peps baridi pembeni itakuwa vema ili dawa ifanye kazi bila vikwazo
 
Sikio la kufa
Yaani ufeje?Mungu sio Mjinga aumbe mnyama haramu,acha tuendelee kufaidi utamu wake na uumbaji wa Mungu

Mungu anatupenda sana Binadamu kiasi kwamba ametupa mnyama huyu kama kitoweo

Hakika Mungu ni mkuu!..
 
Hiyo prescription πŸ‘† πŸ‘† ni ya kidaktari haswa.
 
Unga unga mwana hiyo inaitwa!

Yaani alimradi una device na vidole vya ku-type huku simu ina bundle kidogo charge 82% na platform ya kurusha mashudu yako basi unajiandikia,uliyoandika hapa unaona yakiwezekana.?
 
Yaani ufeje?Mungu sio Mjinga aumbe mnyama haramu,acha tuendelee kufaidi utamu wake na uumbaji wa Mungu

Mungu anatupenda sana Binadamu kiasi kwamba ametupa mnyama huyu kama kitoweo

Hakika Mungu ni mkuu!..
Na mnyama huyu anatumika kama kitoweo na hivyo kuudhihirisha Ukuu na utukufu wa Mungu.
 
Anachokifanya sheikh hapa hapigi kelele?

Kwanini asianze yeye hayo ya Ngoswe kumwachia Ngoswe mwenyewe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…