Huu ni upotoshaji mkubwa sana kuhusu kitimoto

Huu ni upotoshaji mkubwa sana kuhusu kitimoto

Unga unga mwana hiyo inaitwa!

Yaani alimradi una device na vidole vya ku-type huku simu ina bundle kidogo charge 82% na platform ya kurusha mashudu yako basi unajiandikia,uliyoandika hapa unaona yakiwezekana.?

Tatizo hutaki kuambiwa ukweli
Pinga kwa hoja; kwani point 1,2,3 hapo juu sio kweli?
 
Kitu ambacho hakisemwi kuhusu kitimoto ni kuwa
1. Nguruwe ndio kiumbe mwenye viungo vingi (Organs) zinazofanana na za binadam
2. Nguruwe ndiye mnyama mwenye Nyama inayofanana na ya Binadam (mbavu, minofu nk nk) kazi kwako...
3. Nguruwe ana baadhi ya tabia za kimaumbile kama binadam ikiwemo kuingia period nk
Kwa wale wabobevu wa masuala ya dini wanajua kuwa, kuna mahala watoto wa binadam waligeuzwa wakawa nguruwe pengine ndio sababu ya sifa tajwa hapo juu...
Umemaluza mjadala.Naunga mkono.hoja.
 
Anachokifanya sheikh hapa hapigi kelele?

Kwanini asianze yeye hayo ya Ngoswe kumwachia Ngoswe mwenyewe?
Huyu hajakulazimisha usile,wewe kula tu.Wafikiri Yesu,mpzka akawageuza nguruwe wale watu waliowabaya,ni kuwa nguruwe ndii wanyama wabaya zaidi.
 
Maziwa pia Yana patikana
ea9u1M3L_400x400.jpg
 
Back
Top Bottom