Huu ni Usaliti kwa Taifa, Wahariri jitazamemi mara mbili

Huu ni Usaliti kwa Taifa, Wahariri jitazamemi mara mbili

Mkuu Yericko, you have nailed it. Unapopata fursa adimu ya kuitumia, ni wakati pekee ambao unaweza kuuthibitishia umma wa Watanzania kuwa wewe ni mzalendo wa kweli kwa kujali maslahi mapana ya taifa, na wala siyo kujipendekeza!
 
Kazi yao ni kuuliza vitu vya kuwafurahisha Chadema, utadhan Tanzania mzima inataka kujua Habari za chadema tu na sio mambo mengine
Hayo mambo ya CHADEMA umeyaona wapi mkuu? Katiba ni jambo la CHADEMA, au nawe tukuwekee lebo ya uchizi?
 
Walikuwa kama vile kufika ikulu kuliwachanganya. Walikuwa kama wamenyeshewa mvua. Kama hawakujiandaa. Kwa kweli wazee wa Dar na Mama walikuwa na nafuu!

Tuseme kweli wenyewe hawaoni hayo?

Kweli njaa ni mwana malegeza.
Njaa mbaya sana. Mtu yeyote ukitaka kumtawala mtie njaa atakuanudu
 
We kweli Huna Akili Kila Siku mnapiga kelele Rais aheshim katiba leo unataka Rais aingilie Mhimili wa Bunge kisa Mna Wivu na Wabunge wanawake.

Hujui Bunge ni Mhimili unaojtegemea?

Kwann Rais aingilie mhimili mwengne?

Mmelalamika sana Rais kainglia mahkama leo Rais wetu Mpendwa kaacha kila Mhimili Peke ake eti Mnataka awafukuze wabunge kwan wabunge wa CCM wale?

Kama hawajafata sheria Kwann msiende mahkaman haki itendeke kutupgia kelele humu kisa wivu tu Hatutaki..
 
tumwache mama aliunganishe taifa, ikiwa tutahoji waliouawawa na mamlaka ujue wameuawa wengi tangu kwa mkapa, kikwete hadi magufuli hivo ni bora tukajikita kujenga umoja utakaoondoa chuki baina yetu na kuepusha haya mauaji ya kisiasa na hiki ndicho mama anafanya.
 
Ni tamaa tu za uongozi zimewajaa. Ukijumlisha na huu umaskini tulionao kila mwandishi anatarajia teuzi.

Sikutegemea wangeuliza maswali mazuri maana wanaogopa kuharibu cv zao.
 
Hawa jamaa wanalazimisha kupewa hadhi ya mhimili wa nne, lakini ndo taaluma nadhani inyoongoza kwa kuwa na watu wenye uwezo mdogo wa akili, inayoongoza kwakuwa na watu wanaounga unga, na ndo kada inayoongoza kwa kutumika kwa maslahi ya watu wengine kotokana na njaa.
Jana Kuna watu walikuwa wanauliza maswali unaona kabisa hawa wameandikiwa maswali na wameagizwa waulize hivo.
Watu waliofeli shule wengi wapo kwenye kundi hili
 
Mkuu Yericko, you have nailed it. Unapopata fursa adimu ya kuitumia, ni wakati pekee ambao unaweza kuuthibitishia umma wa Watanzania kuwa wewe ni mzalendo wa kweli kwa kujali maslahi mapana ya taifa, na wala siyo kujipendekeza!
... anaupiga mwingi...tulia
 
Back
Top Bottom