Huu ni Usaliti kwa Taifa, Wahariri jitazamemi mara mbili

Wanamuonea wivu halima mdee??
 
Hivi unajua kwamba Mheshimiwa rais ana kazi nyingi na za muhimu za kufanya??
 
Kama mama angeomba kuulizwa maswali kutoka mitandaoni mfano JF naamini kabisa maswali hayo yote na mengine mengi ya msingi yangeulizwa,Ila hao waandishi wamefeli vibaya
You know what guys?
Rejea UTEUZI WA ABDULLAH MWAIPAYA wa ITV kuwa DC wa wilaya ya Mwanga. This was very calculated by Mama Samia kabla hajakutana na media!!
Mama alijua kuwa atakutana na media hivo akaingia huko kuwateua ili akikutana na Wahariri wasipige kettle kwa maans ya kuuliza MASWALI MAGUMU wasije wakakosa teuzi huko mbeleni!!!
Inanikumbusha cartoon ya GADO wa Kenya aliyeonesha Wahariri wa Media WAKIRAMBA MIGUU YA JK enzi za utawala wake!
Hicho ndicho kilichofanyika juzi kati ya Samia na Wahariri/Media!! It's really a disgrace to Tanzania.
 
Mkuu kwa kifupi tu, hawa waandishi wa hbari itakuwa walipigwa bit,na kuambia aina gana ya maswali wanayo paswa kuuliza. najaribu kuwaza kwa ukimya tuu.

Unless otherwise kama uwezo wao ndo huu basi hii tasinia ya habari imevamiwa kwa kasi sana na wasiyo na Ueledi na kazi hii
 
Wewe sio yule unayempigia pambio kisu kikali? Kwanini wewe hukuenda kuuliza maswali hayo wakati ni mwandishi? Kwanini unawalaumu waandishi wenzio ambao tangu mwanzo mliingia kichwa kichwa mkaanza kucheza mdundo cha mwenye kisu kikali sifa za umalkia?

Kwanini mwenyekiti wako wa CDM hukumshauri amwandikie hayo maswali mwenye kisu kikali ayajibu kwa vitendo kuliko tazamio lako la kujibiwa kwa maneno yasiyo na tija?

Punguza kuwa na rangi nyingi zenye kubadilikabadilika.
 
Hivi unajua kwamba Mheshimiwa rais ana kazi nyingi na za muhimu za kufanya??
Acha majibu rahisi kwa maswali magumu!
Unnaposema Mh. Rais ati ana kazi nyingi za kufanya what do you really mean? Unataka kutuambia Katiba mpya, mikutano ya hadhira, kupotea kwa Azory Gwanda, Ben Saanane, shambulio la Tundu Lissu na WASIOJULIKANA na upuuzi mwingine wote ulliofanyika chini ya mtangulizi wake SIYO MUHIMU??
You're really talking nonsense!
 
Maslahi mapana ya taifa ni kuuliza kuhusu Tundu Lissu???

Watu waache kuuliza mambo ya msingi waulize kuhusu CDM?? Hivi nyie watu mkoje???
Mkuu kamwe usimsaidie mtu kufikiri kama unavyofikiri wewe binafsi ikiwa kama ndiyo njia sahihi kwako ya kuwakilisha hisia zako. Nani hapa amezungumzia kuhusu CDM ama Tundu Lissu kuwa ndivyo vitu pekee ambavyo vingetawala katika mkutano ule ili vipate kutambulika kuwa ni maslahi mapana ya taifa?
 
Niliweka uzi humu nikionya juu ya hatari ya tabia iliyojengeka ya kuwasifia kupitiliza marais waliopo madarakani, mods nao waliuondoa haraka. Sijui ulikuwa na shida gani
 
Kama mama angeomba kuulizwa maswali kutoka mitandaoni mfano JF naamini kabisa maswali hayo yote na mengine mengi ya msingi yangeulizwa, ila hao waandishi wamefeli vibaya.
Watu wanapambania fursa nyie mnawletea mambo magumu magumu
 
chadema si chombo cha habari, ila kama chama kinajukumu lakuwa na mapandikizi kila sector ili kupata infomation ambazo ni ngumu kupatikana. maana yangu ni kwamba hata kwenye vyombo vya habari wanatakiwa kuwa na ma informer wao mfano tulikuwaga na kubenea na alitumikaga vizuri sana kumchafua lowasa lakini pia najua kuna waandishi wenye mrengo wa kiharakati na niwafuasi wa chadema je chadema inawatumia ipasavyo nyakati kama hizi na katika mikutano kama hii je inakutana nao kabla nakuwapa mikakati na maswali fikirishi yatakayo ibua hoja za kumfungua rais aonekane ameegemea wapi ili wao wapate pa kuendelea kujiimarisha kimkakati zaidi. katiba ni jambo la msingi tuendelee kuidai.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…