Morning_star
JF-Expert Member
- Apr 21, 2018
- 6,042
- 17,320
Hakuna msaniI kaingia kwenye hizo kazi kwa kibari cha wazazi! Hizo ajira wemepewa na shetani!View attachment 3198530
Naambiwa huyu ni msanii wa bongo fleva. Sasa hivi kutembea uchi ni usanii gani?
Hana wazazi au ndugu huyu msanii?
Anajiuza! Yuko sokoni hapoView attachment 3198530
Naambiwa huyu ni msanii wa bongo fleva. Sasa hivi kutembea uchi ni usanii gani?
Hana wazazi au ndugu huyu msanii?
Mbona huyu ana afadhali kubwa?😂View attachment 3198530
Naambiwa huyu ni msanii wa bongo fleva. Sasa hivi kutembea uchi ni usanii gani?
Hana wazazi au ndugu huyu msanii?
Bwana wee mie mwenyewe nikajua hapa nitaona mrembo nda i ya bikini na butterfly bra kumbe demu mwenyewe kavaa full kabisaDuuh nimefungua mbio mbio ili kuona huo uchi ila nikaambulia patupu🤗
Hapa hakuna cha usanii ni kujiuza!
Pekua vzr mkuu utauona 😂😂Duuh nimefungua mbio mbio ili kuona huo uchi ila nikaambulia patupu🤗
Infact,View attachment 3198530
Naambiwa huyu ni msanii wa bongo fleva. Sasa hivi kutembea uchi ni usanii gani?
Hana wazazi au ndugu huyu msanii? Unaweka wazi machupi yako ndio usanii?
Hapana master.Pekua vzr mkuu utauona 😂😂