Huu ni ushamba, kupanga mstari kumsindikiza Rais akienda Ulaya

Huu ni ushamba, kupanga mstari kumsindikiza Rais akienda Ulaya

Kwa hiyo kama mwendazake aliharibu na huyu tukae kimya aendelee kuharibu?
Majitu yalikuwa yanashangilia ujinga huo kipindi cha mwendazake sasa hivi ndiyo yako tena mstari wa mbele kupinga kitu kile kile! Ni upumbavu huo! Tutulie mama aendelee kujenga nchi!
 
Mzee John Aloyce Maganga, hiyo ni sehemu ya kazi yao. Polisi na TISS, kamata hii mbuzi kwa kudhihaki viongozi. Namba yake ninayo pia kama mkihitaji.
Ahaaaaaa akamatwe kwa kosa lipi? Kisa kasema rundo la viongozi na kumsindikiza samia? Punguza mahaba weka hapa point ueleweke. Eti police wamkamate? Kweli police wanadharauliwa sana😂😂
 
Ahaaaaaa akamatwe kwa kosa lipi? Kisa kasema rundo la viongozi na kumsindikiza samia? Punguza mahaba weka hapa point ueleweke. Eti police wamkamate? Kweli police wanadharauliwa sana😂😂
Mzee John Aloyce kawadhihaki viongozi wa juu kabisa Serikalini kwa kuwaita “majitu”. Hio ni tusi kubwa sana
 
Hadi Rais wa Zanzibar yupo...

Ila ndivyo walivyozoeshana kutakiana kila la kheri...
 
Pumbavu, kipindi cha baba yenu hamkuyaona haya?
 
Back
Top Bottom