Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 6,944
- 14,351
Hii inahudhunisha sana huyu binti anatuharibia Watoto huku.Hapo ni wazi kabisa waliofeli ni wazazi na BAKWATA siyo BASATA.
Huo ni mtazamo wangu binafsi kama Muislam, simwakilishi mtu au chombo kingine chochote.
Kwanini naiondolea lawama BASATA? kwa sababu BASATA ni chombo cha serikali pagani. Kumbuka kuwa serikali yetu ni pagani kwa maana haifati dini yoyote ile.
Kwa maana hiyo namuondolea lawama hata waziri husika.
Kwa bahatri mbaya au nzuri bakwata wanahusika na kusoma dua tu kwenye hafla za chama na serikali iliyopo madarakani, mengine ya mmaadili ya Kiislam hawana jukumu nayo na wala hawayafanyi.
Ndo maisha aliyo jichagulia kutuonesha mbunye yake sasa sioni cha ajabu hapoMkuu huu ndo ujanja kumbe?
Tulia we mzee Kwa hiyo hapo we bibi ulitaka afanye show akiwa amevaa juba au kininja.,Hapo ni wazi kabisa waliofeli ni wazazi na BAKWATA siyo BASATA.
Huo ni mtazamo wangu binafsi kama Muislam, simwakilishi mtu au chombo kingine chochote.
Kwanini naiondolea lawama BASATA? kwa sababu BASATA ni chombo cha serikali pagani. Kumbuka kuwa serikali yetu ni pagani kwa maana haifati dini yoyote ile.
Kwa maana hiyo namuondolea lawama hata waziri husika.
Kwa bahatri mbaya au nzuri bakwata wanahusika na kusoma dua tu kwenye hafla za chama na serikali iliyopo madarakani, mengine ya mmaadili ya Kiislam hawana jukumu nayo na wala hawayafanyi.
Hafu anakuja kufungiwa malaika wa mitego
Na wa shule ya msingi pia. Huyu dada anachangia pakubwa sana kualibu watoto.Huyu manzi anawaharibu watoto wa mikoani ndio maana wanyakyusa walimrushia machupa kule Mbeya
Manyimbo yao ya mtoto kautaka, paka mate iteleze watoto wanasikiliza huku mtaaniMimi nadhani kila mtu anahaki... Na kila jambo linawakati wake mahali pake na watu wanaohusika wanajua wakalipate wapi!
Kwahiyo kwa mtizamo wangu hawa wasanii wananidhamu, kwasababu wanafanya jambo katika muda na mahali sahihi.
Hili swala lilifanyika night club na ni Usiku, shida ikowapi apo.
mtoto wako mdogo umeampaa simu aaangalie katuni YouTube unategemea niniMimi nadhani kila mtu anahaki... Na kila jambo linawakati wake mahali pake na watu wanaohusika wanajua wakalipate wapi!
Kwahiyo kwa mtizamo wangu hawa wasanii wananidhamu, kwasababu wanafanya jambo katika muda na mahali sahihi.
Hili swala lilifanyika night club na ni Usiku, shida ikowapi apo.
mtoto wako mdogo umempa simu yako aangalie katuni YouTube unategemea nini?siumesema usiku ndo wanafanya ....? jitahidi utumie akili mabula ya kuongeaMimi nadhani kila mtu anahaki... Na kila jambo linawakati wake mahali pake na watu wanaohusika wanajua wakalipate wapi!
Kwahiyo kwa mtizamo wangu hawa wasanii wananidhamu, kwasababu wanafanya jambo katika muda na mahali sahihi.
Hili swala lilifanyika night club na ni Usiku, shida ikowapi apo.
Mie ningependa asingekuwa na kitu kabisa.Tulia we mzee Kwa hiyo hapo we bibi ulitaka afanye show akiwa amevaa juba au kininja.,
Halafu nyie watu wa hizi imani wanafiki sana yaani dhambi ya kuimba mambo ya kidunia mmeikubali halafu hii ya kucheza uchi jukwaani mnajifanya mnawasema bakwata, idiot.
Basata hapo hawatii neno, shida yao ukemee watu kutekwa na wasiojulikana watakushukia kama mwewe
Hapo sio night club mkuu... Uwanja wa mpira wa Ruangwa...Mimi nadhani kila mtu anahaki... Na kila jambo linawakati wake mahali pake na watu wanaohusika wanajua wakalipate wapi!
Kwahiyo kwa mtizamo wangu hawa wasanii wananidhamu, kwasababu wanafanya jambo katika muda na mahali sahihi.
Hili swala lilifanyika night club na ni Usiku, shida ikowapi apo.
Wakifanya wakina Beyonce mna furahia, ila akifanya Zuchu mnaita Basata, ebu tulia muda wa wakubwa huo
Kwani hamfahamukuwa serikali haina dini?Mnh mh!!
Are you normal!?
Umepatwa na nini . !?