Huu ni Ushetani. BASATA mko wapi!?

Huu ni Ushetani. BASATA mko wapi!?

Mimi naona ni sahihi kabisa.
Huwezi kuzuia kazi za shetani huku ukimkumbatia shetani.

Muziki ni kazi za shetani na hicho alichokifanya zuchu ni miongoni mwa kazi za shetani za kueneza uzinzi.
Labda serikali izuie mziki kiujumla
Kwahiyo mamlaka ya kuzuia kazi za kishetani kapewa mtu anayemkumbatia shetani.!?

This is deep.
 
Maana yake ni kwamba kizazi chote kipya kinaenda angamia.
Huyu Zuchu anavyopendwa na watoto ni hatari kubwa..
 
Cha msingi dhambi haikemewi na wala hupaswi kuwatenga watendao matendo ya dhambi.
Nini kifanyike?
Wana wa nuru waonyeshe nuru yao ambayo wana wa giza wataikimbilia.
Tatizo wana wa nuru hawana nuru ya kutosha that's why wanatumia nguvu nyingi kuwavuta watu nuruni.
Sawa..watenda dhambi hawapaswi tengwa. Lakini mtenda dhambi mwenye mapesa mengi tena ya kishetani, unaanzaje kaa nae akuelewe.!?
 
Sawa..watenda dhambi hawapaswi tengwa. Lakini mtenda dhambi mwenye mapesa mengi tena ya kishetani, unaanzaje kaa nae akuelewe.!?
Huyo mtenda dhambi mwenye mapesa ni vyema umwache atumie pesa zake. Wewe deal nao wana wa giza wenye maisha magumu, wagonjwa, wenye mateso mbalimbali hao watakusikia na kukuelewa haraka kuliko matajiri .
 
Back
Top Bottom